Anayefahamu Mradi wowote ulioanzishwa chini PPP ya David Kafulila atufahamishe, mimi siujui hata mmoja, ni Mwingi wa maneno tu

Kafulila ni TAPELI aliyekimbiwa na mke Kishoa. Kajanja sana na pengine ni kachawi
 
Bado anachat na Adani huenda mwakani atakuja na mbwembwe mpya! Yule wa mabasi ya mwendo kazi na wa hostel ya CBE ya kwenye makaratasi kapeleka kwa mwamposa kwanza iombewe ili ipate kibali cha muujiza wetu!
 
Hivi unapoteza muda wako kumfuatilia Tumbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…