Anayefahamu sifa za mabinti wa Kinyaturu

Anayefahamu sifa za mabinti wa Kinyaturu

Status
Not open for further replies.
jaman wanaMMU naombeni msaada wenu kwa anayejua sifa za mabinti wa kinyaturu atiririke hapa kabla sijafanya maamuzi magumu

Sifa nayo ijua ya wanyatulu ni weupe...lakin kama tabia ndio lengo lako hasa usigeneralize sana coz wapo wanyaturu wahuni na wema pia...so ni wew kuwa makin kumsoma kwa karib uangalie vtu unavyovipenda wew anavyo? Kama anavyo bac kabil weka pemben nyooka na maisha
 
wazuri,wanamajivuno mengi,wanapenda kumkontroo mwanaume,wengi wanaanza kwa upole but after sometime ukicheche unaanza,so kabla hujaanza naye usimuonyeshe kuwa wewe mlaini sana na unajua kupenda sana usigeuzwe mume -----.positively,wengi ni watafutaji sana na pia wanajua kuzitumia
 
Kama ana amepata Mtoto wa kiume akiwa mkubwa anamuua mmewe ili ale na mwanae tena anamfanya zezeta ili jamii isimuelewe ana lengo gani . anaonesha mapenzi sana kwa mwanae kumbe ndio anakula mzigo
 
wazuri,wanamajivuno mengi,wanapenda kumkontroo mwanaume,wengi wanaanza kwa upole but after sometime ukicheche unaanza,so kabla hujaanza naye usimuonyeshe kuwa wewe mlaini sana na unajua kupenda sana usigeuzwe mume -----.positively,wengi ni watafutaji sana na pia wanajua kuzitumia

Kweli kabisa yamenikuta mpaka leo ni balaa tupu najuta ila mungu ni mwema
 
enzi hizo singida nilipiga nyumba nzima kuanzia mama,shangazi,mamdogo na mtoto mtu....mi hata sikushauri ni vigeugeu sana....tena bure kabisa hata dala utoi yana ni raha tu...
 
Ni kwamba wamegawanyika, singida kaskazini wastaarabu, Kusin ni kama wachaga wamachame. Ila kwa sasa mkubwa, dunia ya dot com imeharibu kila kitu, fuata vigezo ulivyoviweka kama anavyo fanya uamuzi, mengine yatakuja accordingly.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom