Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa bora au nzuri ni ya mtu binafsi na wala si kabila au dini.jaman wanaMMU naombeni msaada wenu kwa anayejua sifa za mabinti wa kinyaturu atiririke hapa kabla sijafanya maamuzi magumu
DuuuuhWanapenda kuminywa!pia ukimminya vizuri anakusifia. Shida yao hawakatai, kuna siku niliwala watatu kwa siku moja. Ila watamu!
Pole me hapa nimetoka job.nilicho fanyiwa mungu ndio anajua nauguza vidonda hawafai hiyo kabilakuna mmoja nilikuwa nae alikuwa anaitwa sheila,vituko alivyokuwa ananifanyia,mungu ndo anayejua,na nilimpenda sana,akawa ndo anatumia kuniumiza,alaf kama wana majini vile,vituko vyote vile,lakn mpaka leo bhado nampenda japo,tumeachana,alimpata mjanja mmoja,akamtorosha akawa ana kaa nae,mara nikasikia wameachana amerud kwao singida,hawafai hao,ila ni wazur,warefu,weupe,waongeaji sana,anapenda akutawale,kuna wakat uwa wanapenda kweli,ila akikuchoka utajuta,hayo ndo niliyaona kwa sheila,mengine siri yangu,
Duh!sasa kabila gani lenye unafuu,maana kila kabila unaambiwa hawafai..naomba unisaidie mkuundugu yangu kimbiaaaaa hawafai hao hata bure,
ogopa wanawake hawa. Wapare. Wameru, na wanawake kutoka Singida. na wazaramo wakimbie hao usijaribu kuoa labda uwale tu na kuwaacha,
nakushauri mkuu kwa moyo mnyenyekevu
WakuryaDuh!sasa kabila gani lenye unafuu,maana kila kabila unaambiwa hawafai..naomba unisaidie mkuu
Mkuu sasa hivi hakuna kabila ambalo ni jema we angalia vigezo unavyohitaji lakini ukisema kwa uhuni hakuna kabila ambalo hakuna wahuni. Na hicho sio kipimo... Samaki mmoja akioza sio wote...aise kwa hizi character natamani ku-pause movie
We ndio unawajua watu wa singida aisee big up mkuu.Mleta mada nakushauri uangalie tabia ya huyo mchumba wako,kama unaridhika nayo oa kama huridhiki nayo usioe lakini mke au mume mwema hutoka kwa mungu, kwa ufahamu wangu wa watu wa singida na kanda ya kati kwa ujumla ni watu wa imani kwa maana ya dini sana kama ni muislam au mkristo atakuwa na msimamo kweli, hata sura za wadada wa kule zinavutia sana mana wanyaturu ni weupe warefu wembamba kama wasomali au wanyarwanda, wengine huwaita waarabu koko...tabia ya mtu mmoja mmoja isikukatishe tamaa ukafanya maamuzi yasiyo ya busara...wanawake wengi wa singida hudumu ktk ndoa zao hadi uzee wao.
nikweli kabisa mi nimeoa mnyaturu wko poa kabisa ni wakarimu na busara wanazo..mkuu muombe radhi mungu wako, huu ni uongo na uzushi wa karne,nakuombea kwa mungu akusamehe. Kama hujui kitu kuhusu kitu flani bora ukae kimya. Hakuna watu wakarimu,wastaarabu na wenye uvumilivu kama wanyaturu.