kuna mmoja nilikuwa nae alikuwa anaitwa sheila,vituko alivyokuwa ananifanyia,mungu ndo anayejua,na nilimpenda sana,akawa ndo anatumia kuniumiza,alaf kama wana majini vile,vituko vyote vile,lakn mpaka leo bhado nampenda japo,tumeachana,alimpata mjanja mmoja,akamtorosha akawa ana kaa nae,mara nikasikia wameachana amerud kwao singida,hawafai hao,ila ni wazur,warefu,weupe,waongeaji sana,anapenda akutawale,kuna wakat uwa wanapenda kweli,ila akikuchoka utajuta,hayo ndo niliyaona kwa sheila,mengine siri yangu,
Yupo wap sheila wangu,mtoto mkarimu sana huyu
umenikumbusha mbali sana mkuu