Anayefahamu sifa za mabinti wa Kinyaturu

Anayefahamu sifa za mabinti wa Kinyaturu

Status
Not open for further replies.
Tatizo lipo lakin kwa mazingira ya sasa ni utashi wa mtu! unaweza ukaona hata kabila lile wanalopiga mogoti wanapofua nguo za mwanaume na kupika na ukalizwa! look the persobality especially internal utamjua! personai! tusilely on stereotype
 
Mm nimeoa mnyaturu, tunamiaka 20 ndani ya ndoa, mambo safi, hakuna shida, ni wamama wazuri sana sana, wanajua kulea watoto, ni wachacharikaji ilimradi apate mume anayejiamini na mwenye kuonyesha njia
Umewasifia vizuri kwa reference ya mkeo
Mie nina mchumba mnyaturu na ni askari
Tabia naona nzuri ,kazi yake inaniogopesha na sifa zinginr walizotaja hapo ni shida
 
Sikuizi wanapenda kuja mjini kutokana na hali ya sasa. Mimi nilibahatisha kula binti na maza ake walikuwa tumepangisha nao karibu karibu kipind nipo Moro.. Kwa kweli ni wakarimu sana wanafaa kuoa
 
wanaakili nyingi angalie wasiwewanakuzidi,hawapendi dharau,na wapole na waungwana ukiwaheshimu,ukichipuka akajua umeharibu maisha yako ya ndoa.wazuri na pia huwa hawatetereki ukiwaachia nyumba yaani wao wanafaa kuwa wasimamizi kwa sababu ni wafuatiliaji.Mwisho muulize kwao ufike kabla ya kumuoa.ila wa kaskazini aka wairhwana hao wanaadabu na tabia njema ila kama wa kusini aka wahi kuwa makini
aiseee wee unawajua
 
Mkuu sifa za binti wa kinyaturu?.....ila katika somo la bailoji kidato cha 3 walizielezea vizuri sana sifa za mabinti wa kinyaturu .....Pia kwa kidato5 wametofauti katika somo hilo hilo kati ya mabint wa kinyaturu wa mjini nna vijijini...Kwa wlioenda chuo kikuu waliochukua Biolloji wametofautisha mabint wa kinyaturu kati ya waliosoma na wasioma mkuu......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom