Anayefahamu sifa za mabinti wa Kinyaturu

Anayefahamu sifa za mabinti wa Kinyaturu

Status
Not open for further replies.
Kama ana amepata Mtoto wa kiume akiwa mkubwa anamuua mmewe ili ale na mwanae tena anamfanya zezeta ili jamii isimuelewe ana lengo gani . anaonesha mapenzi sana kwa mwanae kumbe ndio anakula mzigo

enzi hizo singida nilipiga nyumba nzima kuanzia mama,shangazi,mamdogo na mtoto mtu....mi hata sikushauri ni vigeugeu sana....tena bure kabisa hata dala utoi yana ni raha tu...

Ni wazuri kisura, ila hawana raha kwa kivile coz wamekeketwa, akienda kusalimia kwao akikutana na marifiki zake lazima wale tunda


Utata mtupu kiasi mpaka mleta mada numuona jinsi anavyo tumbua macho kwenye kutafakari
Wanyaturu wote hawafanani lakini kwa haya niliyoyasoma natumai akili itakuwa kichwani mwako
 
Kama ana amepata Mtoto wa kiume akiwa mkubwa anamuua mmewe ili ale na mwanae tena anamfanya zezeta ili jamii isimuelewe ana lengo gani . anaonesha mapenzi sana kwa mwanae kumbe ndio anakula mzigo

mkuu muombe radhi mungu wako, huu ni uongo na uzushi wa karne,nakuombea kwa mungu akusamehe. Kama hujui kitu kuhusu kitu flani bora ukae kimya. Hakuna watu wakarimu,wastaarabu na wenye uvumilivu kama wanyaturu.
 
Kama ana amepata Mtoto wa kiume akiwa mkubwa anamuua mmewe ili ale na mwanae tena anamfanya zezeta ili jamii isimuelewe ana lengo gani . anaonesha mapenzi sana kwa mwanae kumbe ndio anakula mzigo

laana huwa inawaendea watu waosema uongo huku wakiapa kuwa ni ukweli. Wanawake wa kinyaturu ni wema sana, huwa hawataki umchezee chezee ovyo, wana adabu na unyenyekevu, ni wasikivu na wanajituma kwa kazi, wana uwezo wa kumudu kulea familia hata mume akiwa lazy. Hizi sifa ulizoeleza wewe si za wanyaturu labda umekutana na kabila lingine ambalo wamekulia kule wakajua kinyaturu ukadhani ni wenyewe
 
Mleta mada nakushauri uangalie tabia ya huyo mchumba wako,kama unaridhika nayo oa kama huridhiki nayo usioe lakini mke au mume mwema hutoka kwa mungu, kwa ufahamu wangu wa watu wa singida na kanda ya kati kwa ujumla ni watu wa imani kwa maana ya dini sana kama ni muislam au mkristo atakuwa na msimamo kweli, hata sura za wadada wa kule zinavutia sana mana wanyaturu ni weupe warefu wembamba kama wasomali au wanyarwanda, wengine huwaita waarabu koko...tabia ya mtu mmoja mmoja isikukatishe tamaa ukafanya maamuzi yasiyo ya busara...wanawake wengi wa singida hudumu ktk ndoa zao hadi uzee wao.
 
Sifa nayo ijua ya wanyatulu ni weupe...lakin kama tabia ndio lengo lako hasa usigeneralize sana coz wapo wanyaturu wahuni na wema pia...so ni wew kuwa makin kumsoma kwa karib uangalie vtu unavyovipenda wew anavyo? Kama anavyo bac kabil weka pemben nyooka na maisha
Sawa kabisa pana TABIA ya mtu na MILA ya kabila, hivo achambue hapa kati ya hivi.
 
jaman wanaMMU naombeni msaada wenu kwa anayejua sifa za mabinti wa kinyaturu atiririke hapa kabla sijafanya maamuzi magumu
ndugu yangu kimbiaaaaa hawafai hao hata bure,

ogopa wanawake hawa. Wapare. Wameru, na wanawake kutoka Singida. na wazaramo wakimbie hao usijaribu kuoa labda uwale tu na kuwaacha,

nakushauri mkuu kwa moyo mnyenyekevu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom