Faith HJ
Senior Member
- Aug 16, 2017
- 177
- 215
wanyaturu wamegawanyika wa singida kusini kwakweli hawa ni wamachame na wengi wao ni waislam but singida kaskazini ni wastaarabu sana na wanafanya kazi mno halafu kuhusu kukeketwa kama wengine wanavyo comment hizo zilikua tamaduni za huko miaka ya nyuma huwezi kumhukumu mtu kwa kitu alichofanya mzazi wake halafu wewe ushikilie ndio fimbo ya kumchapia cha mhimu angalia sifa za mchumba wako kama unaona atakufaa oa kama unaona hatakufaa mwache aende