Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mtaitazama nyinyi mliokubali kukesha kwenye kibatali chenu[emoji2][emoji2][emoji2]
Kijana ulizaliwa njiti!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaitazama nyinyi mliokubali kukesha kwenye kibatali chenu[emoji2][emoji2][emoji2]
Kijana ulizaliwa njiti!
Hata wewe unaitizama huku jukwaani unajifanya huangalii!Mtaitazama nyinyi mliokubali kukesha kwenye kibatali chenu
PtyuuuuuuuuHata wewe unaitizama huku jukwaani unajifanya huangalii!
Kwani ulikua ujui mtu akishazeeka akiri inaludi utoto au uwezo wa kifkr kunapungua?????Kwa hiyo wazee wetu waliostaafu hawana tena uwezo wa kujua jema na baya..?! Maana nyingine hawana thamani??
Wewe jamaa hovyo kabisa!
Mkuu sasa iyo TBC2 ndio uozo kabisaaaaa nyimbo mwaka wa 9 huu nyimbo zile zile halafu za kitambo sasaHabari Wadau
Yawezekana kabisa kuna watu siju hizi hawaangalii TBC 1. Lakini kuna ambao kila siku kuanzia saa 10 usiku tunaiangalia TBC 1 kutokana na shughuli tunzokuwa tunazifanya.
Muda woe huo kipindi cha mwaka mzima huwa zinapigwa nyimbo hizo hizo mpaka tumezikariri. Wimbo zinapigwa kila siku ni zile za Msondo ngoma..1. Kaza roho, Ajali na Penye penzi hapakosi Tezi. Baadae inafuata Nakei Nairobi ya Mbilia Bel. Kisha unafuata wimbo wa Sina makosa......nyimbo hizi ni mwaka mzima sasa.
Hivi nchi yote hii kuna wasanii hao hao tu au flash ya hizo nyimbo iliharibikia humo humo kwenye kompyuta. Fuatilieni muone. Labda watabadilika
Bandika fastaMkuu niruhusu niinakili nikabandike kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
King'amuzi changu kina Channel mojaNshomile mtani wangu unawezaje kuisikiliza hiyo ccm?
Pole sanaKing'amuzi changu kina Channel moja
Nishomile gani una kingamuzi cha channel moja au nishomile bandia!!King'amuzi changu kina Channel moja
Hahahaaaa......aiseee nimecheka balaaaNishomile gani una kingamuzi cha channel moja au nishomile bandia!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]TBC1 wamechagua kupika misosi studio. Tena siku moja mpishi aliulizwa na mtangazaji eti ni mwanamke gani anayemvutia zaidi katika nyanja zote maishani
Mpishi akajibu; baba yangu. Kweli TBC? Mmemtoa wapi mpishi yule