Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
mnapata wapi huo ujasiri wa kutazama TBC ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko ni kukosa uzalendo dogo!
Unauliza au unapigia jibu mstari?Kwa hiyo wazee wetu waliostaafu hawana tena uwezo wa kujua jema na baya..?! Maana nyingine hawana thamani??
Wewe jamaa hovyo kabisa!
Asante mlinziHabari Wadau
Yawezekana kabisa kuna watu siju hizi hawaangalii TBC 1. Lakini kuna ambao kila siku kuanzia saa 10 usiku tunaiangalia TBC 1 kutokana na shughuli tunzokuwa tunazifanya.
Muda woe huo kipindi cha mwaka mzima huwa zinapigwa nyimbo hizo hizo mpaka tumezikariri. Wimbo zinapigwa kila siku ni zile za Msondo ngoma.
1. Kaza roho, Ajali na Penye penzi hapakosi Tezi. Baadae inafuata Nakei Nairobi ya Mbilia Bel. Kisha unafuata wimbo wa Sina makosa nyimbo hizi ni mwaka mzima sasa.
Hivi nchi yote hii kuna wasanii hao hao tu au flash ya hizo nyimbo iliharibikia humo humo kwenye kompyuta. Fuatilieni muone. Labda watabadilika
Tv za wazee tunawaachia wazeeHabari Wadau

Subiri Royal tourAta safari chenel nao ni wale wale mwaka wa tatu huu makala ni zile zile
Nilichogundua kumbe isipokuwa na kifurushi inabakia TBCCM basi ndio maana huyu jamaa ana makasiriko sana😃😃😃😃Nunua kifurushi uache makasiriko
Mzee gani anaangalia TV saa kumi alfajiri??? Huyu ni kijana mwenzio mshauri anunue kifurushi atamaliza hizo makasiriko, aache uongo wake pia 😃😃Tv za wazee tunawaachia wazee
Mkuu hata kama tunepoteza ramani ...Bado tuna akili timamu acha dharau😁😁Jilaumu mwenyewe kwa kuangalia hicho kituo cha wastaafu na watu waliopoteza ramani.
Mkuu hata kama tunepoteza ramani ...Bado tuna akili timamu acha dharau😁😁
Pengine huyo ayubu amebanwa na shughuli zingine nzito nzito za shirika hana muda wa kufuatilia ishu ndogo ndogo za maudhui yanayorushwa na kituo chakeHuo ndio ubunifu wa Ayub Ryoba Chacha tangu aache kuwa mhadhiri