Anayefanya kazi Maktaba ya Muziki TBC 1 achunguzwe

Kwa hiyo wazee wetu waliostaafu hawana tena uwezo wa kujua jema na baya..?! Maana nyingine hawana thamani??

Wewe jamaa hovyo kabisa!
Unauliza au unapigia jibu mstari?
 
Asante mlinzi
 
Tv za wazee tunawaachia wazee
 
Aisee wameshatuchomea kibanda hawa..Ngoja tuwabadilishie playlist
 
Nunua kifurushi uache makasiriko
Nilichogundua kumbe isipokuwa na kifurushi inabakia TBCCM basi ndio maana huyu jamaa ana makasiriko sana๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Aombe hata 20,000 aweke kile Cha 19,900 aondokqae na hizi makasiriko zake maana anadanganya eti yeye anaangalia usiku tu kulingana na kazi zake, Yani unatoka umechoka unaanzaje kuwaza kuangalia TBC ukiacha kuangalia TV yenyewe hiyo saa 11?
 
Tv za wazee tunawaachia wazee
Mzee gani anaangalia TV saa kumi alfajiri??? Huyu ni kijana mwenzio mshauri anunue kifurushi atamaliza hizo makasiriko, aache uongo wake pia ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Jilaumu mwenyewe kwa kuangalia hicho kituo cha wastaafu na watu waliopoteza ramani.
Mkuu hata kama tunepoteza ramani ...Bado tuna akili timamu acha dharau๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Ivi yule jamaa " Hili ndo jabali la Africa" [emoji23][emoji23][emoji23] aliekua anaripoti propaganda za Jpm kutoka Stigler's gorge bado yupo?

Mimi Tbc huiona nikiwa safari kwenye lodge za bei rahisi[emoji23]
 
Huo ndio ubunifu wa Ayub Ryoba Chacha tangu aache kuwa mhadhiri
 
Watangazaji was tbc wanakamtindo flan utakuta wanarekod kipindi wanakirudia zaid Mara kumi ko mtangazaji akifika anachukua aliorekod wiki iliopita anaweka inacheza afu anakaa tu sis uku tunajua kipindi kipya kumbe Ni kipindi Cha mwaka 2012.
 
Unaanzaje kuangalia hiyo tv? Tv utadhani ya wapiga ramli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ