Anayehitaji dereva binafsi

Anayehitaji dereva binafsi

hakiba

Member
Joined
Jun 1, 2021
Posts
19
Reaction score
33
Salaam wakuu,

Kwa yeyete mwenye gari na anahitaji dereva wakumsaidia kumpeleka safari zake ndogo ndogo za hapa na pale mjini Dar es salaam,anichek tu,malipo tutaelewana ila trust me atakuwa kapata kijana msomi na smart wa kumuendesha😊.

Contacts 0653737209

Gender: Male

Age: 24
 
Una level gani ya elimu mkuu. Na nje ya dar hauwezi mbona unajifunga kwa cage
 
Kila la kheri...

Kazi za udereva kwenye makampuni, yoyote anachukuliwa ila za udereva private wengi wanatafuta wenye umri mkubwa na siyo vijana...
 
Back
Top Bottom