Anayehitaji kujenga kwa gharama nafuu na kitaalamu bila kuibiwa naandaa BOQ/ makadirio kwa gharama nafuu

Anayehitaji kujenga kwa gharama nafuu na kitaalamu bila kuibiwa naandaa BOQ/ makadirio kwa gharama nafuu

Caryceo

Member
Joined
Oct 16, 2019
Posts
21
Reaction score
18
Mimi Ni Quantity Surveyor au mtaalamu wa gharama za ujenzi .

Tafadhali anayehitaji kujenga Kama tayari una ramani yako au utahitaji tu Nikuchoree na nikuandalie BOQ yaan makadirio ya materials yanayohitajika na gharama zake ili kuepuka kuingia gharama na kuibiwa na mafundi au kununua material ya gharama kubwa Zaidi gharama Ni Kati ya Tsh 100,000-1000,000 inategemea na ukubwa au. Complexity ya design yako.

KARIBU 0767605586
 
Mimi Ni Quantity Surveyor au mtaalamu wa gharama za ujenzi . Tafadhali anayehitaji kujenga Kama tayari una ramani yako au utahitaji tu Nikuchoree na nikuandalie BOQ yaan makadirio ya materials yanayohitajika na gharama zake ili kuepuka kuingia gharama na kuibiwa na mafundi au kununua material ya gharama kubwa Zaidi gharama Ni Kati ya Tsh 100,000-1000,000 inategemea na ukubwa au. Complexity ya design yako.KARIBU 0767605586
Kwani ukiwa tu na document ya BOQ inazuia kuibiwa?
 
Ukiwa unajua calculation ya materials yanayohitajika na gharama zake huwezi kuibiwa
 
Back
Top Bottom