House4Sale Anayehitaji kununua apartment Upanga

Joined
Feb 2, 2017
Posts
35
Reaction score
10
IVORY TOWER ltd. inauza apartment iko mjini kabisa , ni mwendo wa kutembe kwenda kariakoo, karibu na supermarkets, kuna chekechea mbili karibu na jengo za lugha ya kiingereza , pia ni karibu na mzumbe university,mtaa wa mfaume, na unaweza kutumia mwendo kasi kwa usafiri wa haraka, mauzo hayo ni kwa bei nafuu kabisa karibu piga namba 0766627538

KARIBU MILIKI APARTMENT YAKO. UNAKARIBISHWA HATA KUFIKA KUANGALIA TU.
 

Attachments

  • IMG_20170106_134947.jpg
    202 KB · Views: 151
  • 15942542_1241598692596778_1265528851_o.jpg
    43.3 KB · Views: 148
  • 15934314_1241617825928198_978477421_o (1).jpg
    42.4 KB · Views: 134
  • 15935290_1241598379263476_649812837_o.jpg
    52.4 KB · Views: 138
  • 15935462_1241617845928196_217578709_o.jpg
    47.9 KB · Views: 141
Living area ni sqmts ngapi...kubwa yao
 
Duniani kote bei za nyumba uweka hadharani sijui why Watanzania atuna tabia hii. please weka bei
 
i am interested in this. how much cost if i want to buy one
 
Weka bei acha kutuzingua...Jengo tunalijua liko pale karibu na Sido. Ni jengo zuri na limejengwa na Mchina wa group six. Ila bila bei tangazo lako ni kazi bure.
Mods anzeni kung'oa mabango yote ya biashara ambayo hayana bei humu JF...
 
Tatizo la kununua apartment ni kwamba "monthly service fees" wakati mwingine ni sawa na bei ya kupanga kwenye "high density". Kama utanilipisha TZS 200,000 kwa mwezi kwa mtaafu hapo namiliki nyumba au namilikiwa?
 
Kumbe tunaishi na watu wanaoweza kuishi maisha mazuri namna hii.. Me Sina hela Ila na shauri muuzaji aweke bei.. Wabongo tunajua bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…