House4Sale Anayehitaji kununua apartment Upanga

House4Sale Anayehitaji kununua apartment Upanga

TUNA
Kumbe tunaishi na watu wanaoweza kuishi maisha mazuri namna hii.. Me Sina hela Ila na shauri muuzaji aweke bei.. Wabongo tunajua bwana!
ASANTE KWA USHAURI WAKO ILA KWA MASWALA YA BEI TUNASHAURI MNUNUAJI AFIKE OFISINI KABISA ILI TUYAJADILI ASANTE.
 
Unajua kwanini hawezi kuweka bei!?kula take unategemea matangazo na matangazo yawe na na mrejesho!!kma hamjafika physically hawezi kuonekana kama anafanya kazi,
 
Hahaaaa 'KARIBU UIONE MWENYEWE'

Mkuu unadhani wote tunaishi dar? Kuna shida gani kusema tu kima cha chini ni million kadhaa na kima cha juu ni million kadhaa? Kama umepata ujasiri wa kupiga picha na kuweka namba kwanini ushindwe kuweka bei?
 
YOUR MOST WELCOME! BUT COULD YOU COME TO THE OFFICE PLEASE! SO THAT WE CAN DISCUSS ABOUT THE PRICE! THANK YOU!
Kila kitu kinachowekwa siri uje kina utata,kwanini hamuweki hizo bei za nyumba bayana ili watu walio mje ya nchi wenye uwezo wakununua na wao wapate nafasi za kutathmini hizo bei za nyuma,I am sorry to say your way of doing bussiness is a bit suspicious
 
HAYO NI MASWALA YA KUJADILI OFISINI MKUU ,LAKINI PIA SIDHANI KAMA UNAWEZA KUITUMA IYO HELA PASIPOKUFIKA KUIONA KWANZA , IVYO ,NIKUOMBE RADHI, NA PIA NIENDELEE KUSEMA KUWA NITAITAJA BEI PALE UTAKAPOFIKA NA KUIONA APARTMENT ASANTE.
 
Ishu mbona ni ndogo tu kwamba Kwa vile nyie mnafanya biashara na sio Mnada basi bei twaja itatathiminiwa na wanunuaji na watakao kuwa ready watalipa. Bei ndio kishawishi. Kwa biashara na sisi
 
Hahaaaa 'KARIBU UIONE MWENYEWE'

Mkuu unadhani wote tunaishi dar? Kuna shida gani kusema tu kima cha chini ni million kadhaa na kima cha juu ni million kadhaa? Kama umepata ujasiri wa kupiga picha na kuweka namba kwanini ushindwe kuweka bei?
Watu wa TRA tumeshika calculator hapa tunasubiri ataje bei tujue.
 
YOUR MOST WELCOME! BUT COULD YOU COME TO THE OFFICE PLEASE! SO THAT WE CAN DISCUSS ABOUT THE PRICE! THANK YOU!
Kaka biashara ya Nyumba inakuwa wazi, sio kila mtu yuko Tz au Dar, kwani hauna price tag za kila appartment uziweke hapa?
 
Haya mie offer yangu ni Mil50 cash hata sasa hivi mkuu kwa apartment ya vyumba vitatu vya kumbonji ikiwepo na self contained,unasemaje???
 
Kila kitu kinachowekwa siri uje kina utata,kwanini hamuweki hizo bei za nyumba bayana ili watu walio mje ya nchi wenye uwezo wakununua na wao wapate nafasi za kutathmini hizo bei za nyuma,I am sorry to say your way of doing bussiness is a bit suspicious
NIKUOMBE RADHI KWANZA NA PIA, INGEKUWA SIRI SIDHANI KAMA NINGEWEZA KUELEZA ENEO HUSIKA AMBAPO NAWEZA KUPATIKANA NA APARTMENT ZILIPO, HAKUNA USIRI WOWOTE ILA KWA SABABU NA MALEGO YA COMPUNI YETU , TUNAPENDA MTEJA AIONE APARTMENT TUJADILI BEI TUKIWA OFISINI- ASANTE
 
Back
Top Bottom