Anayehitaji saidia fundi, fundi seremala mwanafunzi au msaidizi wa kazi yeyote inayohitaji nguvu Dodoma anisaidie

Anayehitaji saidia fundi, fundi seremala mwanafunzi au msaidizi wa kazi yeyote inayohitaji nguvu Dodoma anisaidie

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
468
Reaction score
619
Habari za leo wakuu.

Napitia kipindi kigumu sana kiuchumi

Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kibarua cha malipo ya siku au vyovyote vile nipo tayari.

Naweza kufanya saidia fundi au kazi yoyote ya nguvu.

Nina uwezo wa kutumia cherehani kwa ufasaha kabisa

Au kama unaweza kunielekeza viwanda vinavyotoa kibarua kwa siku kwa Dodoma

Pia nina ujuzi wa kutengeneza sofabed na sofa japo bado sijaiva kwenye baadhi ya vipengele na vifaa muhimu vya hiyo kazi ninavyo (staple gun. Nyundo, plaizi, msumeno),

Naweza pia kujitolea ikiwa nitapata pesa ya nauli na chakula kila siku.

Wale waliowahi kupitia kipindi kama hiki wanaelewa msongo ninaopitia ukijumlisha na watu nao wameamua kunitenga.

Jinsia mwanaume
Miaka 24
Napatikana Dodoma
Mawasiliano yangu 0624008133
Nisaidie kwa hili na Mungu atakubariki

Natanguliza shukrani.
 
Duu bado kijana mbichi kabisa vumilia utapata mkuu na muda huu ndio wa kutafuta binti anayekupenda,

ukizipata usiende kuhonga uwe unakumbuka hardship Kama ya muda huu kuwa mpaka Mia ilikuwa inakukosa mfukoni
akhsante mkuu
 
Habari za leo wakuu.

Napitia kipindi kigumu sana kiuchumi

Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kibarua cha malipo ya siku au vyovyote vile nipo tayari.

Naweza kufanya saidia fundi au kazi yoyote ya nguvu.

Nina uwezo wa kutumia cherehani kwa ufasaha kabisa

Au kama unaweza kunielekeza viwanda vinavyotoa kibarua kwa siku kwa Dodoma

pia nina ujuzi wa kutengeneza sofabed na sofa japo bado sijaiva kwenye baadhi ya vipengele na vifaa muhimu vya hiyo kazi ninavyo (staple gun. Nyundo, plaizi, msumeno),

Naweza pia kujitolea ikiwa nitapata pesa ya nauli na chakula kila siku.

Wale waliowahi kupitia kipindi kama hiki wanaelewa msongo ninaopitia ukijumlisha na watu nao wameamua kunitenga.

Jinsia mwanaume
Miaka 24
Napatikana Dodoma
Mawasiliano yangu 0624008133
Nisaidie kwa hili na Mungu atakubariki

Natanguliza shukrani.
Dah nakuombea mkuu, nmemtumia jamaa angu mmoja Namba ako km ana kazi akushtue
 
Back
Top Bottom