Anayeijua vizuri Shooters ya Mtwara

Ulienda shule kukariri kumbe
 
Mkuu hizo siyo starehe ni Umalaya Na Upumbavu mtupu.
Kama mtu umalaya ndio anaona starehe ni vyema aformat ubongo wake.
Ajitahidi kusoma vitabu vya morals and ethics vitamsaidia kubadili code of conduct zake pamoja na mfumo wake wa maisha
Wewe ndo unahitaji ku format ubongo wako mkuu. Kama unayachukulia kwa u serious maneno ya kwenye comment ya mtu usie mjua basi something is missing in ur head
 

Nivyema ukazingatia zaidi kulea wajukuu na familia yako hii dunia ukijifanya baba ushauri utaumia na moyo bure ama kuishia kujiripua kama magaidi wa kidini,wacha watu waenjoy maisha yao unaweza usife kwa ngoma ukapaliwa mfupa wa samaki ukafa,usitishe sana vijana acha wale bata.
 
Wewe ndo unahitaji ku format ubongo wako mkuu. Kama unayachukulia kwa u serious maneno ya kwenye comment ya mtu usie mjua basi something is missing in ur head

Fala kweli wewe bwana mdogo.nakunukuu wewe mwenyewe na ufala wako "Kama unachukulia Kwa u userious maneno ya Kwenye comment ya mtu useyemjua basi something is missing in ur head.".
Namalizia wewe ni fala Na bwege mtozeni usiyejitambua bloodyfucking
 
Kama.Na wewe ni.mmoja wao hao.mnaenjoy maisha Kwa kununua. Malaya huko Kwenye mabar Pole sana hiyo siyo starehe
Sina cha kuumia roho Kwa kutoa ushauri ambao upo moral and ethical right katika jamii.
Halafu nakushauri heshimu na thamini zawadi ya uhai usiuchezee .
Kufa kupo na kila nafsi itaonja mauti. lakini
Nakwambia tena heshimu zawadi ya UHAI ambao unao .
Acha kuongea utumbo
Pumbavu zako
 
Kuna uzi nyingine ukiona maudhui yake hayakupendezi ni bora kupita kimya kimya ili usigombane na watu mnengene
Sawa mkuu ila ni vile.ambavyo inaonyesha morals and ethics katika jamii zimekuwa so corrupted Kwa mtu kama Mimi napata shida kupita kusema chochote ktk.kuwakumbusha wazingatie morals.and ethics za jamii..
Kwangu Mimi sioni shida kumshauri.mtu aachane na mwenendo.mbaya .
Inashangaza sana mtu unamshauri achana na hicho kitu sio kizuri Kwa faida yake , Anakujibu usinipangie maisha sijui Usitake tufanane and so forth.
Sasa mfano mtu mwizi unamwambia acha wizi sio mzuri. Then huyo mwizi Anakujibu usinipangie maisha ,Usitake ni fanane na wewe ,kila mtu na maisha yake..
Ndio kama Kwenye hii thread namshauri. mtu aache tabia ya umalaya anajibu Usitake tufanane.
Any way mwisho ya yote kila mtu na akili zake pamoja na utashi wake kuamua kufuata au kutofuata morals and ethics za Kwenye jamii lakini tutambue kutofuata kuna matokeo hasi
 
Umeongea vizuri..machukizo ni mengi sana..na inafikirisha sana
 
Fala kweli wewe bwana mdogo.nakunukuu wewe mwenyewe na ufala wako "Kama unachukulia Kwa u userious maneno ya Kwenye comment ya mtu useyemjua basi something is missing in ur head.".
Namalizia wewe ni fala Na bwege mtozeni usiyejitambua bloodyfucking
Kama unadhani mtu anaweza kuwa hurt na maneno ya hovyo kutoka kwa stranger then something is missing in ur head.
 

Pumbafu wewe unayejipa umuhimu kwenye maisha ya watu,kuna mtu kakuomba huo ushauri ama shobo zako,mzee wa hovyo wewe.

Mind your own business acha ulimbukeni.
 
Kipindi hiki ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika Mtwara. Nilishangaa sana Mtwara iko tofauti na stori za watu kuwa kumechoka. Sehemu niliokuwa naipenda kwa utulivu wake ni Msemo,sijui bado ipo?
 
Pumbafu wewe unayejipa umuhimu kwenye maisha ya watu,kuna mtu kakuomba huo ushauri ama shobo zako,mzee wa hovyo wewe.

Mind your own business acha ulimbukeni.
Yaani nyie mnataka muachwe na.ma comment yenu ya hovyo hovyo .
Lazima tuyakemee kama vile ma pastor wanavyokemea mapepo madhabahuni.
Kama hamtaki kujibiwa maupumbavu yenu muwe mnayajadili hukohuko Kwenye vikao vyenu vya familia msiyalete huku public Kwa magreat thinkers
Pumbavu zako
 
Wewe ndio umekua hurted Kwa maneno yangu ya Hekima.
Kwa hiyo unatoa makoment ya kipumbavu huku mtandaoni Kwenye public yaachiwe uendelee ku pollute jamii,
Mkuu umeshaambiwa hapo juu kama jambo unaona halikuhusu unapaswa kuachana nalo. Hapa wewe ndio unaonekana kituko . Live ur life so that others too May live their lives usitake kupangia watu sheria zako za mwaka 87
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…