Anayeijua vizuri Shooters ya Mtwara


Hayo mahubiri na makemeo yamepunguza maasi nadhambi kiasi gani?

Pia na wewe fungua uzi wa kukemea hayo maasi na dhambi unaingilia uzi usio kuhusu,nyanoko
 
Mkuu umeshaambiwa hapo juu kama jambo unaona halikuhusu unapaswa kuachana nalo. Hapa wewe ndio unaonekana kituko . Live ur life so that others too May live their lives usitake kupangia watu sheria zako za mwaka 87

Huyo jamaa ni mshenzi tu,anatabia za kike kama unaona uzi haukuhusu pita kimya kimya kuna nyuzi nyinga sana humu za kushiriki.

Nahisi stress za uzeeni zinamsumbua.
 
Mtwara Shooters[emoji91][emoji91][emoji91]

Kuna Leopard( zaman maisha club)

Kuna oxgen, triple v na escape one

Sofar hayo ndio machaka

Lindi sina uzoefu sana, japo kuna chaka linaitwa Paris [emoji3][emoji3][emoji3]

Ni noma
 
Lindi ulofa mtupu
 
Kipindi hiki ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika Mtwara. Nilishangaa sana Mtwara iko tofauti na stori za watu kuwa kumechoka. Sehemu niliokuwa naipenda kwa utulivu wake ni Msemo,sijui bado ipo?
Msemo ipo
 
Kwani kumlipa mwanamke ili akupatie burudani ya kimapenzi ni jambo lisilo na maadili?
 
Tatizo mojawapo kubwa sana kwa Tanzanina ni inflation ya bei za viwanja. Mtu hujipangia bei kwa kuamini tu kuwa iko prime location bila kuangalia thamani halisi na infrastructure zilizopo.
 
Shooters ni hapo mjini tu karibu na stend
Msosi wanao ila mabibi wako wengi tu.
Sijagusa hata mmoja,kula daily nilikua mteja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…