Haipo haja ya kumung'unya maneno wandugu, wala kuendelea kulea pimbi.
Imesikika miluzi mingi mara oooh:
Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!
Mara oooh:
Pre GE2025 - DSM - Ujumbe wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Boniface Jacob kwa G-55 na Wanachadema
Kwani nani ana taabu na mwamba, Boni yai au Mrema au nani?
Chadema ni kama meli ya mgiriki, asema Boni yai:
Kwa hakika Kwa sasa kama huamini kwenye "no reforms no elections" hatutakuwa na masikitiko kokote utakapoelekea, kwani utakuwa si mwenzetu!
Ikumbukwe mwamba alipanga kumfukuza Lissu baada ya uchaguzi January ile:
Pre GE2025 - Mbowe: Lissu kuhutubia Taifa ni kukosa nidhamu na kufanya kazi isiyo yake
Je Lissu alipanga kumfukuza au kamfukuza nani kutoka CHADEMA? Au chama chini ya Lissu au Heche ilipanga au imemfukuza au inahangaika na nani wapi?
Bila shaka hii miluzi mingine, Kwa kujua au kutokujua, ni kwa hisani na maslahi zaidi ya kile chama chenye kunufaika mno na "no reforms!"
Hatutatoka kwenye reli, kokote kule na wasikie:
"NO REFORMS NO ELECTIONS!"
Habari ndiyo hiyo.