Alifanya mapinduzi ndio sasa hivi amefariki na amewaacha Wacuba wanakufa njaa. Na ili wasife njaa wanaomba chakula kutoka kwa "adui" Marekani. Hiyo ni akili au ukichaa? Ahahahahaha!!Kwani Kuna aliyefukuzwa? Hukuwasikia wenyewe wakisema wamerudi nyumbani? Ni mwalimu, Mrema au hao uliowaona kwenye TV?
Nsiache kumbusha:
View attachment 3330307
Habari ndiyo hiyo.
imhotep au nasema uongo?
Alifanya mapinduzi ndio sasa hivi amefariki na amewaacha Wacuba wanakufa njaa. Na ili wasife njaa wanaomba chakula kutoka kwa "adui" Marekani. Hiyo ni akili au ukichaa? Ahahahahaha!!
Wewe Cuba inaisikia kwenye vijiwe vya kahawa.Cuba wanakufa njaa? Huijui Cuba wewe.
Uliza kwa tuliosoma Cuba tukwambie.
Pia shangaa hakuna m Cuba aliyesoma popote kwa ufadhili serikali ya CCM!