PreGE2025 "Anayejiita CHADEMA asiyeamini kwenye "no reforms no elections" huyo si mwenzetu!" Miluzi mingi ya nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Haipo haja ya kumung'unya maneno wandugu, wala kuendelea kulea pimbi.

Imesikika miluzi mingi mara oooh:

Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!

Mara oooh:

Pre GE2025 - DSM - Ujumbe wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Boniface Jacob kwa G-55 na Wanachadema

Kwani nani ana taabu na mwamba, Boni yai au Mrema au nani?

Chadema ni kama meli ya mgiriki, asema Boni yai:

Kwa hakika Kwa sasa kama huamini kwenye "no reforms no elections" hatutakuwa na masikitiko kokote utakapoelekea, kwani utakuwa si mwenzetu!

Ikumbukwe mwamba alipanga kumfukuza Lissu baada ya uchaguzi January ile:

Pre GE2025 - Mbowe: Lissu kuhutubia Taifa ni kukosa nidhamu na kufanya kazi isiyo yake

Je Lissu alipanga kumfukuza au kamfukuza nani kutoka CHADEMA? Au chama chini ya Lissu au Heche ilipanga au imemfukuza au inahangaika na nani wapi?

Bila shaka hii miluzi mingine, Kwa kujua au kutokujua, ni kwa hisani na maslahi zaidi ya kile chama chenye kunufaika mno na "no reforms!"

Hatutatoka kwenye reli, kokote kule na wasikie:

"NO REFORMS NO ELECTIONS!"

Habari ndiyo hiyo.
 
Muda si mrefu na Boniyai ataitwa msaliti. Ni suala la muda tu. Bahati mbaya hajajua kuwa HATAKIWI CHADEMA na uongozi wa Lissu. Labda kwakuwa ni "Shemeji" anaweza anavumiliwa kidogo
 
Muda si mrefu na Boniyai ataitwa msaliti. Ni suala la muda tu. Bahati mbaya hajajua kuwa HATAKIWI CHADEMA na uongozi wa Lissu. Labda kwakuwa ni "Shemeji" anaweza anavumiliwa kidogo

Nani atamwita msaliti sasa, kama hakuitwa hivyo huku?

Kumbuka wasaliti ni wapinga no reform no elections.

Habari ndiyo hiyo.
 
Nani atamwita msaliti sasa, kama hakuitwa hivyo huku?

View attachment 3330202

View attachment 3330200

Kumbuka wasaliti ni wapinga no reform no elections.

Habari ndiyo hiyo.
Ninachojua ni suala la muda tu. Nani alijua Salum Mwalimu, Ben Kigaila, John Mrema, Mch. Msigwa wote wangelifika bei? Au hujui walichokuwa wanasema wenzao walipokuwa "wanafika bei" nikuwekee hapa?
 
nimemwomba Mungu anisamehe, nilimsema vibaya Boni Yai kipindi cha zile kampeni za uenyekiti. bro boni nisamehe mwana!
 
Tatizo mmedandia chama Cha Mbowe. Chama ambacho tayari lilikuwa kina misingi. Anzisheni chama chenu kama mna ubavu! Na kwa taarifa yako, ikitokea Mbowe na wenzake wakaamua kuanzisha chama, Chadema itakuwa afadhali ya CHAUMA!
 
Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

Na hiyo ni hii ya Lissu.

Wasiomo kwenye hii hata wakiungana nanyi mbona safi tu?

Kwani umeona wapi tunamlilia hali nani?

Ninyi kaeni kwa kutulia.
 
Ninachojua ni suala la muda tu. Nani alijua Salum Mwalimu, Ben Kigaila, John Mrema, Mch. Msigwa wote wangelifika bei? Au hujui walichokuwa wanasema wenzao walipokuwa "wanafika bei" nikuwekee hapa?
Wajinga wote waondoke Chadema wakaungane na lundo la hao CCM

Bon yai hawezi kuwa sehemu yao abadan
 
Wajinga wote waondoke Chadema wakaungane na lundo la hao CCM

Bon yai hawezi kuwa sehemu yao abadan
Hata kwa Kigaila, Mwalimu na John Mrema mlisema hivyo. Na wengine wameondoka Leo! Ahahahahaha!!
Wasaliti wote LAZIMA waondoke. Hata akibaki Lissu peke yake atashinda Urais! Ahahahahaha!!
 
Hata kwa Kigaila, Mwalimu na John Mrema mlisema hivyo. Na wengine wameondoka Leo! Ahahahahaha!!
Wasaliti wote LAZIMA waondoke. Hata akibaki Lissu peke yake atashinda Urais! Ahahahahaha!!

Kigaila mwenye make COVID-19 au Mwalimu huyu?

Your browser is not able to display this video.

Au yeyote asiyeamini kwenye no reforms no elections?

Hao si ni wenzenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…