PreGE2025 "Anayejiita CHADEMA asiyeamini kwenye "no reforms no elections" huyo si mwenzetu!" Miluzi mingi ya nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nawaunga mkono kwenye kufukuza kila mtu hadi abaki peke yake! Ahahahahaha!!

Kwani Kuna aliyefukuzwa? Hukuwasikia wenyewe wakisema wamerudi nyumbani? Ni mwalimu, Mrema au hao uliowaona kwenye TV?

Nsiache kumbusha:



Habari ndiyo hiyo.

imhotep au nasema uongo?
 
Kwani Kuna aliyefukuzwa? Hukuwasikia wenyewe wakisema wamerudi nyumbani? Ni mwalimu, Mrema au hao uliowaona kwenye TV?

Nsiache kumbusha:

View attachment 3330307

Habari ndiyo hiyo.

imhotep au nasema uongo?
Alifanya mapinduzi ndio sasa hivi amefariki na amewaacha Wacuba wanakufa njaa. Na ili wasife njaa wanaomba chakula kutoka kwa "adui" Marekani. Hiyo ni akili au ukichaa? Ahahahahaha!!
 
Alifanya mapinduzi ndio sasa hivi amefariki na amewaacha Wacuba wanakufa njaa. Na ili wasife njaa wanaomba chakula kutoka kwa "adui" Marekani. Hiyo ni akili au ukichaa? Ahahahahaha!!

Cuba wanakufa njaa? Huijui Cuba wewe.

Uliza kwa tuliosoma Cuba tukwambie.

Pia shangaa hakuna m Cuba aliyesoma popote kwa ufadhili serikali ya CCM!
 
Cuba wanakufa njaa? Huijui Cuba wewe.

Uliza kwa tuliosoma Cuba tukwambie.

Pia shangaa hakuna m Cuba aliyesoma popote kwa ufadhili serikali ya CCM!
Wewe Cuba inaisikia kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…