FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Very aisee... Nilichukua hapo Blue SeductionMkuu! Kumbe Na Wewe Mdau Pale? Halafu Jamaa Bei Zake Ni Rafiki Mno
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very aisee... Nilichukua hapo Blue SeductionMkuu! Kumbe Na Wewe Mdau Pale? Halafu Jamaa Bei Zake Ni Rafiki Mno
Mkuu ni nzuri sana inanukia vizuri inakaaa kwenye nguo kwa mda mrefu, harufu yake haichoshiMkuu nimechoka kutumia spray, nataka nihamie kwenye perfume bila kujali bei yake, Vipi hiyo blue channel iko vizuri na harufu yake haikeri?
Aiseeh, asante sana kwa kunihakikishia ubora mkuu. Vipi bei yake?Mkuu ni nzuri sana inanukia vizuri inakaaa kwenye nguo kwa mda mrefu, harufu yake haichoshi
30kAiseeh, asante sana kwa kunihakikishia ubora mkuu. Vipi bei yake?
Hiyo bajeti yako haiwezi kupata perfume/cologne nzuri. Saana saana utaishia kuuziwa maji yaliyopuliziwa povu la sabuni ya marashi (perfumed soap). Bei ya perfume inaendana na ulaini na uzuri wa manukato yake.Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo.
Jinsia yangu ni mme
Ahsanteni
Ili nyie wanawake mvutiwe na sisi muanze kutushobokea[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji38][emoji38][emoji38]Halafu pafyume za kiume ndo zina utuli mzuri kuliko za kike[emoji848]why?
Nauza perfume kwanzia 8500 mini crystal zinakaa kwenye nguo mda mrefu kwa jumla pia tunauza kwa wanaohitaj kufanya biashara faida ya uhakika kwanzia elfu 20 contact me kwenye number hii 0659532998Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo.
Jinsia yangu ni mme
Ahsanteni
ulishapata hiyo perfum mkuu au nikuuzie maana mm nauza perfum og mkuuYeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo.
Jinsia yangu ni mme
Ahsanteni
ulishapata mkuu nikuletee na jinsia yako gani?Wapi napata body spray na perfume za STAG LIFE
Bado sjapata mkuu, mimi jinsia ME.ulishapata mkuu nikuletee na jinsia yako gani?
1. perfum zinaanzia sh 13,000 na kuendelea ni ogBado sjapata mkuu, mimi jinsia ME.
Unauza pesa ngapi
Nakutafuta mkuu.1. perfum zinaanzia sh 13,000 na kuendelea ni og
2. nina spray nazo nauza 6000 - 8000 karibu niko dar
waweza kunipm pia mkuu karibuNakutafuta mkuu.
Poa nshakuPMwaweza kunipm pia mkuu karibu
Vipi AXE BLACK?Natumia spray yake.
Ni safi sana. Tangu nimeanza haka kamjamaa sijawahi enda kwingine kabisa
Perfume yake napataje?
Bad boy perfumeYeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo.
Jinsia yangu ni mme
Ahsanteni