Anayejua aina nzuri ya perfume

Anayejua aina nzuri ya perfume

Mkuu nimechoka kutumia spray, nataka nihamie kwenye perfume bila kujali bei yake, Vipi hiyo blue channel iko vizuri na harufu yake haikeri?
Mkuu ni nzuri sana inanukia vizuri inakaaa kwenye nguo kwa mda mrefu, harufu yake haichoshi
 
Nunua FANTASTIC bei rahisi tu but hutojutia..5000 tu
 
Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo.

Jinsia yangu ni mme

Ahsanteni
Hiyo bajeti yako haiwezi kupata perfume/cologne nzuri. Saana saana utaishia kuuziwa maji yaliyopuliziwa povu la sabuni ya marashi (perfumed soap). Bei ya perfume inaendana na ulaini na uzuri wa manukato yake.
 
Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo.

Jinsia yangu ni mme

Ahsanteni
Nauza perfume kwanzia 8500 mini crystal zinakaa kwenye nguo mda mrefu kwa jumla pia tunauza kwa wanaohitaj kufanya biashara faida ya uhakika kwanzia elfu 20 contact me kwenye number hii 0659532998
 
Wapi napata body spray na perfume za STAG LIFE
 
Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo.

Jinsia yangu ni mme

Ahsanteni
ulishapata hiyo perfum mkuu au nikuuzie maana mm nauza perfum og mkuu
zipo
hugo boss perfum
genesis perfum
112 perfum
utakazo
 
Back
Top Bottom