Anayejua aina nzuri ya perfume

Anayejua aina nzuri ya perfume

Mousuf
Magnetic
Gentle elsayt
Dar al shabaab
Zara
Nimetumia Blue for Men
Kisha nikachukua Dark Fever, naona inaelekea kuisha.

Sasa najiuliza, sijui nikienda Kariakoo Jtano nikachukue ipi kati ya hizo ulizo orodhesha hapo. Nishauri.

Mfano ukaletewa zote tano, uchukue moja, utaondoka na ipi.
 
Hapo naondoka na Mousuf bro
 
Hapo naondoka na Mousuf bro
Leo nimeenda Kariakoo nimerudi na Kigunia na karanga za kuchemsha.
IMG_20220226_193158_135.jpg
 
nime buy hii perfume jana ila hainukii imepoa sana
je aina gani nzuri na inanukia ktk brand hii?
IMG_20220304_220704_377.jpg
 
Hiyo airfresh imeisha.. Nitaipata wapi Kwa hapa Dar?
20220308_134953.jpg
 
Back
Top Bottom