Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana Lowassa akaingia Chadema na kupitishwa kugombea Urais .

Baada ya Lowassa aliyeletwa na Dr Slaa kupitishwa kugombea Urais , Dr Slaa akajiondoa Chadema kwa Ushawishi wa Mchumba wake na kwa ushawishi pia wa Dr Mwakyembe , akaingia ccm na kuwa mpiga debe wao , akalipwa Ubalozi kwa kazi hiyo ya kupiga debe na kutukana Lowassa na Sumaye , ambao kwa sasa wako wote chama kimoja .

Kwa kufupisha tu nina swali dogo kuhusu huyu Mzee , Juzi alimsifia Dr Magufuli kwa kuwa Mwanademokrasia na kuilaumu serikali kwa kumnyima fursa ya kumuombea alipokuwa Mgonjwa , na kwamba hadi leo moyo wake uko ndani ya magufuli au sijui magufuli ndio yuko kwenye moyo wake .

Sasa hebu msomeni hapa halafu mtueleze kile anachokisimamia .

View attachment 2164960
Mi najua anachosimamia. Niseme nisiseme
 
Huyu Mzee angekaa kimya ingemsaidia sana kwani azidi kujiaribia.

Ni hivi karibuni alisikika akisema aliudhika na waliokuwa wakisema Mbowe sio Gaidi ila yy aliwahi kusema Lwakatare sio Gaidi.

Waliopo karibu naye wamshauri kama niteuzi atateuliwa tuu kwani Mwenyekiti wetu Mama Samia anajua kuwa yuko hapa Tanzania atamkumbuka ktk utezi
 
Navyojua kadri mwanadamu anavyozidi kuzeeka ndio akili yake inarudi kuwa kama ya mtoto, hivyo simshangai huyo babu.

Mbona Wewe unaonekana kijana Lakini ndo Zero Brain kabisa.

Wewe Ni Mbowe is always right. Kwa kuwa Wengine wote hawafanani na Mbowe so wengine wote hawako Right. Ni wazee. Nk.

Let me tell you level ya uelewa Slaa, Mbowe hata akatambike kichaga hawezi kuifikia.

Jaribu kuficha ujinga wako once and a while.
 
imebidi nicheke tu , hivi Chadema ndio ya kuhadaika na hizo kamati duni zilizoundwa na kujaza wachumia tumbo , nadhani utakuwa unatania
Sasa hivi CHADEMA hawana sera tena baada ya punching bag wao magufuli kufariki.

Kabla ya magufuli sera za CHADEMA zilikuwa ni pamoja na kutoa elimu na huduma za afya bure, kuimarisha miundo mbinu ikiwa ni pamoja na ufufuaji wa relai na shirika la ndege.

Magufuli alipoyakamia hayo mambo kwa vitendo, CHADEMA wakamchukia kwa kuwanyangnaya sera, mara ya kwanza walisema "Magufuli anatekeleza ilani ya CHADEMA." Baadaye wakashindwa kuvumilia kumwona anatifua kwa haraka vile wakageuka na kudai kuwa miradi hiyo ni "maendeleo ya vitu. Hiyo midege yatatusaidia nini!" Kosa la Magufuli pale alipouzia mikutano ya siasa basi wakapata kete kubwa ambayo mpaka leo bado wanaikumbuka, ambayo mama sasa kaifuta.

Slaa anasema kuwa upinzania hawana sera tena, yuko sahihi.

Nadhani wewe ulisoma ile post kwa kuangalia neno la "Magufuli aliwapa wapinzani hoja" ikakukera kwa vile ulitegemea aseme kuwa "Magufuli aliwanyima wapinzani demokrasi."
 
Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana Lowassa akaingia Chadema na kupitishwa kugombea Urais .

Baada ya Lowassa aliyeletwa na Dr Slaa kupitishwa kugombea Urais , Dr Slaa akajiondoa Chadema kwa Ushawishi wa Mchumba wake na kwa ushawishi pia wa Dr Mwakyembe , akaingia ccm na kuwa mpiga debe wao , akalipwa Ubalozi kwa kazi hiyo ya kupiga debe na kutukana Lowassa na Sumaye , ambao kwa sasa wako wote chama kimoja .

Kwa kufupisha tu nina swali dogo kuhusu huyu Mzee , Juzi alimsifia Dr Magufuli kwa kuwa Mwanademokrasia na kuilaumu serikali kwa kumnyima fursa ya kumuombea alipokuwa Mgonjwa , na kwamba hadi leo moyo wake uko ndani ya magufuli au sijui magufuli ndio yuko kwenye moyo wake .

Sasa hebu msomeni hapa halafu mtueleze kile anachokisimamia .

View attachment 2164960
Mjomba tumbo ndio shida hapo
 
HUYU BABU KWA SASA KAISHIWA HASA BAADA YA KUONGEA ULE UTUMBO UCHAGUZI WA MWAKA 2015.

HUYU NI MSALITI MKUBWA MNO, KIPINDI KILE ANGEACHA UCHAGUZI UPITE NDO ATOE YA MOYONI, ALIPEWA PESA NA CCM KUWAHARIBIA UKAWA
 
Yeye na Mkulu haviivi
Anamtumia ujumbe kiaina
Anasumbuka bure ataishia kuwa kama lyatonga
Kama ana busara atulie aishi miaka mingi vinginevyo....
Nilipoona anamuita mwendazake baba nikajua kuna kitu hakipo sawa kwenye medulla oblangata...
Yeye na mwendazake nani baba?

Unajidanganya. Watz mnapenda kufanya mitihani mliyotunga wenyewe.

Ni kama mnataka kutoa pain zenu na kuwapachika wengine.
 
Kwani serikali iliyozuia mwendazake asiombewe sio serikali aliyokuwa anatumikia huyu ndugu? Au na hili pia amelisahau. Kama mwenye mamlaka ndiye aliyezuia taarifa zake, huyu padre ana laumu nani?
Kwanza huo upako wa kumuombea mtu aupate wapi?

Huyu ni Padre mzinzi tu hana charismatic yoyote kwa sasa, na hasa dhambi ya kumpora mke wa mtu wa ndoa ya kanisani huyu ni next to Lucifer.
 
Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana Lowassa akaingia Chadema na kupitishwa kugombea Urais .

Baada ya Lowassa aliyeletwa na Dr Slaa kupitishwa kugombea Urais , Dr Slaa akajiondoa Chadema kwa Ushawishi wa Mchumba wake na kwa ushawishi pia wa Dr Mwakyembe , akaingia ccm na kuwa mpiga debe wao , akalipwa Ubalozi kwa kazi hiyo ya kupiga debe na kutukana Lowassa na Sumaye , ambao kwa sasa wako wote chama kimoja .

Kwa kufupisha tu nina swali dogo kuhusu huyu Mzee , Juzi alimsifia Dr Magufuli kwa kuwa Mwanademokrasia na kuilaumu serikali kwa kumnyima fursa ya kumuombea alipokuwa Mgonjwa , na kwamba hadi leo moyo wake uko ndani ya magufuli au sijui magufuli ndio yuko kwenye moyo wake .

Sasa hebu msomeni hapa halafu mtueleze kile anachokisimamia .

View attachment 2164960

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Mwandika mada Ni chawa wa Mbowe , hatutegemei tofauti.
 
Anaemsujudu yeye alisema wazi kabisa kuwa 2020 hakuna kitu kitaitwa upinzani hapa Tanzania na kweli alilifanyia kazi kwa kushirikiana na Polepole na Bashiru je mbio zao waliweza kumaliza jibu ni hapana ila wao ndio WALIMALIZWA.Chadema ipo vilevile tena inapendwa zaidi.
 
Kwanza huo upako wa kumuombea mtu aupate wapi?

Huyu ni Padre mzinzi tu hana charismatic yoyote kwa sasa, na hasa dhambi ya kumpora mke wa mtu wa ndoa ya kanisani huyu ni next to Lucifer.

Hiyo ni hulka ya mapadri wote bwashee sio yeye tu
 
maana yake utawala wa magufuli ulikuwa wa kizembe mno ndio maana wapinzani walikuwa imara zaidi kuusimamia na kuelekeza cha kufanya kama kigogo alivyokuwa anamwelekeza lakini sasa Rais Samia S H yuko imara zaidi kaziba udhaifu wote wapinzani watakuwa hawana hoja.
 
Back
Top Bottom