Anasimamia mawazo yake
Mi najua anachosimamia. Niseme nisisemeHuyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana Lowassa akaingia Chadema na kupitishwa kugombea Urais .
Baada ya Lowassa aliyeletwa na Dr Slaa kupitishwa kugombea Urais , Dr Slaa akajiondoa Chadema kwa Ushawishi wa Mchumba wake na kwa ushawishi pia wa Dr Mwakyembe , akaingia ccm na kuwa mpiga debe wao , akalipwa Ubalozi kwa kazi hiyo ya kupiga debe na kutukana Lowassa na Sumaye , ambao kwa sasa wako wote chama kimoja .
Kwa kufupisha tu nina swali dogo kuhusu huyu Mzee , Juzi alimsifia Dr Magufuli kwa kuwa Mwanademokrasia na kuilaumu serikali kwa kumnyima fursa ya kumuombea alipokuwa Mgonjwa , na kwamba hadi leo moyo wake uko ndani ya magufuli au sijui magufuli ndio yuko kwenye moyo wake .
Sasa hebu msomeni hapa halafu mtueleze kile anachokisimamia .
View attachment 2164960
Navyojua kadri mwanadamu anavyozidi kuzeeka ndio akili yake inarudi kuwa kama ya mtoto, hivyo simshangai huyo babu.
75 yrs plus bado wanataka teuzi tuuu anaona amesahaulikaMama hana mpango na chawa wa Magufuli.
Akili kubwa ni ile ya kupora wake za watu tu .Kumwelewa dr. Slaa lazima uwe na akili kubwa zaidi ya hapo utabaki na vijembe
Sasa hivi CHADEMA hawana sera tena baada ya punching bag wao magufuli kufariki.imebidi nicheke tu , hivi Chadema ndio ya kuhadaika na hizo kamati duni zilizoundwa na kujaza wachumia tumbo , nadhani utakuwa unatania
Mjomba tumbo ndio shida hapoHuyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana Lowassa akaingia Chadema na kupitishwa kugombea Urais .
Baada ya Lowassa aliyeletwa na Dr Slaa kupitishwa kugombea Urais , Dr Slaa akajiondoa Chadema kwa Ushawishi wa Mchumba wake na kwa ushawishi pia wa Dr Mwakyembe , akaingia ccm na kuwa mpiga debe wao , akalipwa Ubalozi kwa kazi hiyo ya kupiga debe na kutukana Lowassa na Sumaye , ambao kwa sasa wako wote chama kimoja .
Kwa kufupisha tu nina swali dogo kuhusu huyu Mzee , Juzi alimsifia Dr Magufuli kwa kuwa Mwanademokrasia na kuilaumu serikali kwa kumnyima fursa ya kumuombea alipokuwa Mgonjwa , na kwamba hadi leo moyo wake uko ndani ya magufuli au sijui magufuli ndio yuko kwenye moyo wake .
Sasa hebu msomeni hapa halafu mtueleze kile anachokisimamia .
View attachment 2164960
Yeye na Mkulu haviivi
Anamtumia ujumbe kiaina
Anasumbuka bure ataishia kuwa kama lyatonga
Kama ana busara atulie aishi miaka mingi vinginevyo....
Nilipoona anamuita mwendazake baba nikajua kuna kitu hakipo sawa kwenye medulla oblangata...
Yeye na mwendazake nani baba?
Kwanza huo upako wa kumuombea mtu aupate wapi?Kwani serikali iliyozuia mwendazake asiombewe sio serikali aliyokuwa anatumikia huyu ndugu? Au na hili pia amelisahau. Kama mwenye mamlaka ndiye aliyezuia taarifa zake, huyu padre ana laumu nani?
Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana Lowassa akaingia Chadema na kupitishwa kugombea Urais .
Baada ya Lowassa aliyeletwa na Dr Slaa kupitishwa kugombea Urais , Dr Slaa akajiondoa Chadema kwa Ushawishi wa Mchumba wake na kwa ushawishi pia wa Dr Mwakyembe , akaingia ccm na kuwa mpiga debe wao , akalipwa Ubalozi kwa kazi hiyo ya kupiga debe na kutukana Lowassa na Sumaye , ambao kwa sasa wako wote chama kimoja .
Kwa kufupisha tu nina swali dogo kuhusu huyu Mzee , Juzi alimsifia Dr Magufuli kwa kuwa Mwanademokrasia na kuilaumu serikali kwa kumnyima fursa ya kumuombea alipokuwa Mgonjwa , na kwamba hadi leo moyo wake uko ndani ya magufuli au sijui magufuli ndio yuko kwenye moyo wake .
Sasa hebu msomeni hapa halafu mtueleze kile anachokisimamia .
View attachment 2164960
Ugali wake tuu!Sasa hebu msomeni hapa halafu mtueleze kile anachokisimamia .

Kwanza huo upako wa kumuombea mtu aupate wapi?
Huyu ni Padre mzinzi tu hana charismatic yoyote kwa sasa, na hasa dhambi ya kumpora mke wa mtu wa ndoa ya kanisani huyu ni next to Lucifer.
Tunarudi chama kimoja kama UrusiAnasimamia kweli.
Mbowe asipokomaa upinzani utakufa rasmi!
Usiandike kitu usichokijuwa.Hiyo ni hulka ya mapadri wote bwashee sio yeye tu