mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
mbona mmekaa kimauaji tu?hebu wapeni haki yao ya kuishi! Unaonaje ukiwawekea hivyo vyakula wanavyovifuata ndani sehemu kama bustanini au kwenye yard yako?kitu kingine sisimizi ni wadudu wa msimu ukiwaona ndani basi ujue wanakimbia 'mafuriko'nje wahurumie!mi hata mbu huwa nawategeshea mguu wavyonze waende zao halafu nalalaa bila bugudha!na nina chumba changu special kwa ajili ya kunguni , mende na mapanya!
:-d:-d:-d?????????