mbona mmekaa kimauaji tu?hebu wapeni haki yao ya kuishi! Unaonaje ukiwawekea hivyo vyakula wanavyovifuata ndani sehemu kama bustanini au kwenye yard yako?kitu kingine sisimizi ni wadudu wa msimu ukiwaona ndani basi ujue wanakimbia 'mafuriko'nje wahurumie!mi hata mbu huwa nawategeshea mguu wavyonze waende zao halafu nalalaa bila bugudha!na nina chumba changu special kwa ajili ya kunguni , mende na mapanya!
Habari wana JF!!Katika nyumba yangu kuna tatizo la sisimizi.Hivi sasa imekuwa ni kero mtindo mmoja.Kwa yeyote anayefahamu, naomba anijuze nitumie dawa gani ili wadudu hawa wapotee kabisa ndani ya nyumba yangu.
huitaji gharama. we chukua mafuta taa paka kwenye kitamba then pitisha wanakopita hutawaona tena
nunua aheri powder
Habari wana JF!!Katika nyumba yangu kuna tatizo la sisimizi.Hivi sasa imekuwa ni kero mtindo mmoja.Kwa yeyote anayefahamu, naomba anijuze nitumie dawa gani ili wadudu hawa wapotee kabisa ndani ya nyumba yangu.
Taafuta Sevin.Itakusaidia sana.
feedback!Mimi mwenyewe sisimizi wananisumbua kweli kweli, ni Mwezi tu tangu nihamie hii nyumba, Ila sisimizi wamekuwa kero, wanang'ata vibaya, rangi yao kama ya siafu. Naamini nitapata suluhisho kupitia Uzi huu.
Unatafuta 'Dawa',au sumu?
Hii Utasahau Yotenunua aheri powder
Icon naijua vizuri ukipukizia dawa inaisha nguvu after 6 monthsPoda ni kama huduma ya kwanza, inasaidia sana mi nimetumia, ila sumu inayowauwa tena inadumu Muda mrefu na kuuwa wadudu wengine ikiwamo mbu ni (nuvan+icon), Huo mchanyiko ni fumigation kiboko
Inapatikana.wapi?Hii Utasahau Yote View attachment 2039390
Dar Es Salaam Kwenye Maduka Ya Vifaa Vya UjenziInapatikana.wapi?
Bei?