Bibiharusi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2025
- 386
- 431
Nimetafuna sana karafuuJaribu kutumia karafuu na asali
Mafutabya😃😃😃tulale mkuu.Asante lakin umeelewekaJaribu kusukutulia chumvi
Pia kama una mafutabya nazi yaache mdomoni dakika 20, unasukutua nayo yanasaidia
Sawa sawa Mafuta ya Nazi sina ila mida ya saa nne nimesukutua na Maji ya chumvi sanaJaribu kusukutulia chumvi
Pia kama una mafutabya nazi yaache mdomoni dakika 20, unasukutua nayo yanasaidia
Unasaga karafuu unachanganya na asali then weka kwa jino.au halina kitundu??Nimetafuna sana karafuu
Typing error mda mwingine unatype akili ina process information nyingine watching a movieMafutabya😃😃😃tulale mkuu.Asante lakin umeeleweka
Lipo limetobokaUnasaga karafuu unachanganya na asali then weka kwa jino.au halina kitundu??
Aisee tumia hydrogen peroxide, ukiona hauponi nenda kang'oeSawa sawa Mafuta ya Nazi sina ila mida ya saa nne nimesukutua na Maji ya chumvi sana
Sawa nitajaribu kukikucha maumivu makaliiAisee tumia hydrogen peroxide, ukiona hauponi nenda kang'oe
Una mafuta gani nyumbani? Olive oil?
Sawa Asante sanaHuduma ya kwanza
Sukutua na Maji ya Chumvi ya moto
Matibabu
Tafuta dawa uuue hao wadudu dawa za antibiotics kuna dawa pakipambazuka nitakutumia utumie hiyo watakufa wadudu wote
Then waweza Juli'ngoa hilo Ila lazima uue hao bacteria wote
Asante mkuuTumia Secinidazole utapona ndani ya siku 3. Ni dawa ya tumbo lakini pia inaponya maumivu makali ya meno.
Meza Flamar.. maumivu kwishaWapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia.
Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani pia mwaka Jana nilitoa ma wili kwakupishana miezi nilihisi nitapumzika Sito pata tena shida mwaka huu limenianza hili la juu limetoboka linanipa shida sana
MSAADA WA DAWA yoyote nitumie kama naweza kupona haraka.
Tafuta punje 5 za karafuu weka penye jino linalouma. Utapata matokeoWapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia.
Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani pia mwaka Jana nilitoa ma wili kwakupishana miezi nilihisi nitapumzika Sito pata tena shida mwaka huu limenianza hili la juu limetoboka linanipa shida sana
MSAADA WA DAWA yoyote nitumie kama naweza kupona haraka.
Hizi dawa zinaua bacteria wa kwenye meno Ila pia zinasafisha damu ikiwa damu yako imechafuka .
Dawa hii ukotumia meno yatakuwa hayapati tena hiyo shida
Nb vidonge vina nguvu Sana hakikisha unakula , unashiba na unakunywa Maji ya kutosha.
Kukipambazuka niiwai pharmacyHizi dawa zinaua bacteria wa kwenye meno Ila pia zinasafisha damu ikiwa damu yako imechafuka .
Dawa hii ukotumia meno yatakuwa hayapati tena hiyo shida
Nb vidonge vina nguvu Sana hakikisha unakula , unashiba na unakunywa Maji ya kutosha.
View attachment 3411727