unamezaje hizi dawa mkuu DR HAYA LAND?Usisahau kuleta mrejesho Ila hilo jino waweza kulitoa ikiwa limetoboka au ukaliziba
Hiyo dawa inaua wadudu na maambukizi kwahiyo ikiwa huo upande wa jino unautumia kitafunia utakuwa haujaondoa tatizo 100% maybe unatumia upande mwingine kutafunia.
Nenda pharmacy,tafutaunamezaje hizi dawa mkuu DR HAYA LAND?
hizo flama unamezaje?Nenda pharmacy,tafuta
Diclopar MR.linatulia
Au Flama hii ni kiboko vidonge vikigusa kinywa tu linatulia.
Pole sana muhimu kwenda hospital
Kabla yakwenda kuling'oa wacha nikaitafute hio dawa pharmacy nioneMiaka ile nilisumbuliwa sana na maumivu makali ya jino nikaelekezwa niende Hindumandal Hospital maeneo ya posta (Dar es Salaam), Kuna dawa inaitwa Ranos ilinisaidia sana ,sikuling'oa jino na halikunipa usumbufu tena
Mkuu kwa vile Leo n siku yenu maalum wewe na mkubwa smart sasa nakupa dawa ya jino bureeeKabla yakwenda kuling'oa wacha nikaitafute hio dawa pharmacy nione
Jino linauma miezi kadhaa sasa nikila kitu hasa chenye chumvi au sukari nakiona chamtemakunde!
Cc Smart911
Siku tatu hadi nne bado tu anaskilizia kupona jino kumbuka maumivu ya jino hayana comebackMkuu kwa vile Leo n siku yenu maalum wewe na mkubwa smart sasa nakupa dawa ya jino bureee
Chukua magomen ya mwembe yale ya ndan baada ya kutoa uchafu wa nje chemsha na maji kwa muda baada ya kuchemsha acha yapoe kidogo kisha maj yake sukutua upande ule wa jino kwa siku 3 had nne baada ya hapo njoo unipe mrejesho
Mkuu nimetoa msaada TU kama haitaj ataachaSiku tatu hadi nne bado tu anaskilizia kupona jino kumbuka maumivu ya jino hayana comeback