Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
Kwanza natangulia kusema nitashukuru kwa watakaonielimisha.
Faida hasa ya sungu sungu ni nini? Kazi ya polisi ni nini ili itofautiane na hii ya sungu sungu?
Kuna umuhimu wa kuwa na sungu sungu katika mtaa wako?
Najua kuna watakaosema wanapunguza wizi japo si kwa asilimia 100,je kama ipo na uhalifu ukafanyika wao watakuwa wanaplay wapi?