Issue siyo kwenda polisi. Tatizo muda. Kwanza tangu lini vibaka wakaogopa polisi??Polisi walale na mshahara wapokee sisi tukeshe bila faida?? Labda ingekuwa wanajitolea bure sawa
Wewe si umekubali kuwalipahaya maswali waulize majirani zako wanaolipa hawa sungu-sungu.
Issue siyo kwenda polisi. Tatizo muda. Kwanza tangu lini vibaka wakaogopa polisi??
Sungu sungu ni utaratibu tu unawekwa serikali za mitaa, mnachanga pesa kidogo hata 500, au 1,000 kwa mwezi mnawapa vijana ( vibaka wa mtaani ) ili wizi upungue au uishe.
Hata mkiibiwa mnawafuata hao hao.
Msipotoa hao hao wanawaibia.
Je, utaacha kuishi kwa amani, na kuanza kupelekana polisi kila siku kufuatilia sijui kuna kibaka kakuibia Sabufa???
Siyo sheria. Ni utaratibu tu na ustaarabu wa serikali za mitaa na maisha ya mtaani kwa ujumla.Kuchanga ni jambo la hiari au ni lazma?
naona kaona akisema ipo kisheria atakutuliza na amefanikiwaNdio,ila ameshindwa kunijibu anadai ipo kisheria
chief tafuta pesa.Wewe si umekubali kuwalipa
naona kaona akisema ipo kisheria atakutuliza na amefanikiwa
kwangu mimi naona wanasaidia sehemu na sehemu, sio kote. kama mtu mwingine alivyoposti, wengi wanakuwa vibaka na wengine hata watoto wa viongozi kwenye mitaa (hao hao vibaka) sasa kwa kuwa wanapata kiposho, wanapunguza uhalifu, hawaachi kabisa.
sana sana unakuta matukio yanapungua kwa asilimia ndogo sana ila kama nilivyosema hapo awali, inategemea sehemu na sehemu maana kuna sehemu zingine wapo na bado shughuli za usiku zaendelea kama vile hiki kitengo hakipo!
upo na wanatozwa kama kawaida!Hivi maeneo kama Mbezi Beach,Kijichi huu utaratibu upo kweli? Mana kule kila gate lina mlinzi wake