Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
Ndio,ila ameshindwa kunijibu anadai ipo kisheriaHuyo aliyekuja kukuchangisha pesa ya sungu-sungu ulimuuliza haya maswali?
Ndio,ila ameshindwa kunijibu anadai ipo kisheriaHuyo aliyekuja kukuchangisha pesa ya sungu-sungu ulimuuliza haya maswali?
Asee watz wanachukulia mambo kirahisi sana,tuna safari ndefu sana huku mbeleHata sikupewa majibu ya kueleweka
Bado nahitaji majibu kuhusu Ulinzi Shirikishi, Wanasheria nawaomba tafadhali
Kuna swala ambao hata mimi linaniumiza sana kichwa ki ukweli haya mambo ya ulinzi shirikishi hii nchi sijui yanatokea wpi yanaanzia wapi na yanaenda wapi, kuna hela zinachangishwa hizi hela anazila nani zinaenda wapi na kwanini tunachangishwa. Mimi kama kawaida yangu n mzee wa kurudi nyumbani...www.jamiiforums.com
Naona jamaa anapandisha sana,kumwambia "faida ya sungu sungu pale nitakapoibiwa ni nini" kaongea ½saa bila kujibu
Sijawahi kuona faida yake toka waanzeIlikuwa ikifika zamu yangu naenda kulala gesti. Wakati huo ndio nilikuwa nimeanza maisha na nimepanga chumba kimoja na ndani nina stool na meza. Tv ya chogo na simu siemens.
Sungu sungu ni kukesha na si kulinda kama wengi mnavyoamini.
Mkwara tu huo,kinachonifanya nisilipe kuna kipindi nililipa kwa miezi miwili nikaja kuibiwa,nikauliza msaada wa kupata vitu vyangu wakadai nenda polisi. Sa kuna tofauti gani ya wao na kujilinda mwenyewe?Wanaudhi sana unakuta unachangia pesa halafu siku umeibiwa hawana msaada zaidi wanataka kupotia tatizo lako nao watatue shida zao
Siku wanakuja kuchukua pesa nikawauliza nataka risiti ya electronic ili kuinufaisha serikali na nijihakikishie kua mnatambulika, sio hivi vikaratasi vya kugushi ambavyo hata mimi naweza nikavi print
Wakanambia kama unaleta kipengele kukuthibitishia kama tunatambulika serikalini napiga simu doka lije likuzoe ukanyee makasha
Inshort inabidi tuwalipe ili wasituibie.Sungu Sungu ndio hao hao wezi. Kwahiyo wakiwa Sungu Sungu wizi unaisha au kupungua kabisa.
Mchawi mpe mwanao akulelee.
Vibaka tu wanapungua
Jibuni hilo swali tu mada iisheInshort inabidi tuwalipe ili wasituibie.
Mkisitisha kuwalipa 1 month wanakuja kuiba ili muwarudishe kazini kulinda.
haya maswali waulize majirani zako wanaolipa hawa sungu-sungu.Kwa hiyo wewe kama mlipaji ukiibiwa wanakusaidiaje?
Jibuni hilo swali tu mada iishe