Anayejua haya matunda ya Shokishoki yana maajabu gani mbona zinauzwa bei juu hivi?

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
8,724
Reaction score
24,474
Visiwani huku nimekutana na haya matunda wanaita Shokishoki,

Kwa kuwa nafuata ushauri wa Dr. Janabi kwenye lishe basi nikasema acha niulize haya ni matunda Gani na niyanunue (sijawahi kuyaona kabla ya hapa)

Nikaambiwa ni Shokishoki, bei ya chini kabisa ni 2,000.

Bei zingine 5,000,
10,000
50,000 nk
Hayo ya 50,000 hata kwenye ndoo ya Lita 10 hayajai.

Haya matunda yana kitu Gani Cha special?

Maana hata mtandaoni sijaona kama yanaongeza labda hata nguvu za kiume 🤔

images (23).jpeg
Dr. Mariposa
 
Visiwani huku nimekutana na haya matunda wanaita Shokishoki, kwakuwa nafuata ushauri wa Dr. Janabi kwenye lishe basi nikasema acha niulize haya ni matunda Gani na niyanunue (sijawahi kuyaona kabla ya hapa)
Nikaambiwa ni Shokishoki, bei ya chini kabisa ni 2,000.

Bei zingine 5,000,
10,000
50,000 nk
Hayo ya 50,000 hata kwenye ndoo ya Lita 10 hayajai.

Haya matunda yana kitu Gani Cha special?
Maana hata mtandaoni sijaona kama yanaongeza labda hata nguvu za kiume 🤔
View attachment 3562854
Dr. Mariposa
Bei y kawaida mbona hio, ulizia Mangosteen (mengostini) kipisi kimoja Tu wanauza 4000-5000
 
Tende ni nyingi, demand and supply ndio inaamua bei za vitu
Tende zina bei kushinda hayo mashokshok, tende tunazokula Sisi za msaada ndio bei rahisi Ila Tende kavu nyingi zina bei ndefu, usual ni 20,000 ama zaidi kwa kilo na kilo ya tende ni kidogo sababu ni nzito.
 
Huo msaada ndio unaofanya supply kuwa kubwa, pia kodi zitakuwa zinaongeza sana bei za tende ukizingatia ni bidhaa kutoka nje,
 
Tende zina bei kushinda hayo mashokshok, tende tunazokula Sisi za msaada ndio bei rahisi Ila Tende kavu nyingi zina bei ndefu, usual ni 20,000 ama zaidi kwa kilo na kilo ya tende ni kidogo sababu ni nzito.
Mbona tende 7,000 tu mkuu Tena ile classic 🤣
Au mimi sijui vitu vizuri
 
Mostly za misaada na low quality ndio bei hio,

Tende za South Africa nzuri kimkebe kidogo unapata Tu kichana ni 10,000. Same kwa Tende za Egpty ama Arabuni kwa ujumla, Tende zipo aina nyingi mno, nenda shoppers ama Kariakoo Maduka wanayoleta matunda ya South ama Egpty utaona varieties nyingi na bei zake.
 
Visiwani huku nimekutana na haya matunda wanaita Shokishoki,

Kwa kuwa nafuata ushauri wa Dr. Janabi kwenye lishe basi nikasema acha niulize haya ni matunda Gani na niyanunue (sijawahi kuyaona kabla ya hapa)

Nikaambiwa ni Shokishoki, bei ya chini kabisa ni 2,000.

Bei zingine 5,000,
10,000
50,000 nk
Hayo ya 50,000 hata kwenye ndoo ya Lita 10 hayajai.

Haya matunda yana kitu Gani Cha special?

Maana hata mtandaoni sijaona kama yanaongeza labda hata nguvu za kiume 🤔

Dr. Mariposa
Mazuri sana kuongeza nguvu za kiume
 
Back
Top Bottom