Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Huyu kijana namuona sana mitandaoni, hata hivyo ana wafuasi wengi sana Instagram, ambapo kwa mtandao wa Tiktok ndiyo mtu mwenye wafuasi wengi sana Afrika Mashariki. Juzi ameenda kutumbuiza India na wasanii wakubwa sana lakini utashi na ubunifu wake unazua gumzo kwani huvaa nguo za kimila jamii ya Masai.
Niongee ukweli, miaka mitano ijayo huyu mtu atakuwa pakubwa sana hata Diamond hatamgusa. Tuombe mungu uhai na uzima.
Niongee ukweli, miaka mitano ijayo huyu mtu atakuwa pakubwa sana hata Diamond hatamgusa. Tuombe mungu uhai na uzima.