rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Sa si utuambie huyo ni nani na anafanya shughuli gani, sio kutulazimisha eti tunamjua, sisi sio WA kufuatilia amateurs mitandaoni, ebo!!Unaongea nini wewe wakati huko Twitter jamaa ana zaidi ya 4millions followers anawazidi hata celebs wengi wa bongo na hata huko Twitter anatrend vibaya mno.