Anayejua historia ya Kill Paul tunaiomba, anavuma nje kuliko kawaida

Anayejua historia ya Kill Paul tunaiomba, anavuma nje kuliko kawaida

Ndiyo dunia ilivyo, sema kinachonishangaza unyoofu wa English yake lakini pia nyumba wanayokaa hapo Chalinze, yaani kuna vitu naona kama havijakaa sawa, inaonekana ni mtu ambaye alijiandaa muda mrefu
Unaambiwa kuna wamasai matajiri wa tanzanite wanaongea kingereza kama ton brair ila hawajagusa hata kidato
 
Halafu watanzania kupitia wizara Wala hawamuoni wanasuburi afanikiwe baadae waseme Ana Maringo plus roho mbaya but inshort namuelewa sana
Kitendo chakukutana na mastaa wakubwa India kina Madhuri,Salmaan Khana , kuingia jumba la big boss na kualikwa kwenye show za DDK it's a huge respect Kwa nchi yake,mpk waziri mkuu Modi anamjua
Namuona kabisa akifika mbaali mnooouhimu TU aendelee kuishi vile alivyo asijichanganye na madrama ya wasanii wa bongo
 
Huyo jamaa anajitahidi sana maana anapenda kuimba nyimbo za kihindi mpaka na mm kanifanya nianze kufatilia nyimbo za kihindi maana jamaa wana beat kali na sauti nyororo basi hata kama sielewi wanaimba nn mm nasikiliza tu km tunavosikiliza nyimbo za lingara
 
Unaongea nini wewe wakati huko Twitter jamaa ana zaidi ya 4millions followers anawazidi hata celebs wengi wa bongo na hata huko Twitter anatrend vibaya mno.
Twita kaanza kutrend juzi baada ya kulipia hela (twita wana hudumu ya kubust mtu apate wafuasi wengi)

Followers 4milion hajafikisha twita labda tik tok
 
Twita kaanza kutrend juzi baada ya kulipia hela (twita wana hudumu ya kubust mtu apate wafuasi wengi)

Followers 4milion hajafikisha twita labda tik tok
Yeah true
Screenshot_20221011-131023.jpg
 
Huyu kijana namuona sana mitandaoni hata hivyo ana followers wengi sana Instagram ambapo kwa mtandao wa Tiktok ndo mtu mwenye follewers wengi sana Afrika Mashariki. Juzi ameenda ku-perfom India na wasanii wakubwa sana lakini utashi na ubunifu wake unazua gumzo kwani huvaa nguo za kimila jamii ya Masai.

Niongee ukweli miaka mitano ijayo huyu mtu atakuwa pakubwa sana hata Diamond hatamgusa. Tuombe mungu uhai na uzima

View attachment 2382657
Unajua lazima uelewe wa kushindana na Diamond ni waliokufa tu. Hana mpinzani kwenye music Tanzania
 
Unaambiwa kuna wamasai matajiri wa tanzanite wanaongea kingereza kama ton brair ila hawajagusa hata kidato
Ukweli kiingereza n rahisi kwao kuliko kiswahili na kukuta mmasai kachafua LA,Paris,London ila daslam hapajui tatizo watu wanawachukulia poa sanaa.
 
Ndiyo dunia ilivyo, sema kinachonishangaza unyoofu wa English yake lakini pia nyumba wanayokaa hapo Chalinze, yaani kuna vitu naona kama havijakaa sawa, inaonekana ni mtu ambaye alijiandaa muda mrefu
Kumbe Masai wa chalinze?
 
Back
Top Bottom