Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Perish the thought dude.Niongee ukweli miaka mitano ijayo huyu mtu atakuwa pakubwa sana hata Diamond hatamgusa. Tuombe mungu uhai na uzima
Akifikia umaarufu wa kuwa na haters wengi, kufanyiwa figisu na kuweza kuyakabili yote hayo ndipo utumie reference ya Diamond lakini kabla ya hapo tuendelee tu kunuombea azidi kupata umaarufu na mafanikio ya kiuchumi pia.Huyu kijana namuona sana mitandaoni hata hivyo ana followers wengi sana Instagram ambapo kwa mtandao wa Tiktok ndo mtu mwenye follewers wengi sana Afrika Mashariki. Juzi ameenda ku-perfom India na wasanii wakubwa sana lakini utashi na ubunifu wake unazua gumzo kwani huvaa nguo za kimila jamii ya Masai.
Niongee ukweli miaka mitano ijayo huyu mtu atakuwa pakubwa sana hata Diamond hatamgusa. Tuombe mungu uhai na uzima
View attachment 2382657
unapitia mitandao ipi kiasi cha kutomjua huyu kijana anafanya sanaa ipi? Huyu kijana ana trend sana mitandaoni na sasa amepata segment kwenye shindano linalofanana na la big brother huko india japo si mshiriki wa shindano hilo. Anaigiza nyimbo za kihindiMsanii Wa tasnia gani?
Comedy,
Music,
Sinema,
Weka weka nyama hbr yako
Msanii Wa tasnia gani?
Comedy,
Music,
Sinema,
Weka weka nyama hbr yako
Twite republic hawana muda na watu wa namna hiiMimi Ndio nimemuona leo,na mitandao ninayotumia Muda mwingi Ni JF, TWITTER na QUORA.
Watu makini zaidi hii ndiyo mitandao yao pendwa na mingine kama hii, hata mimi simjui aiseeMimi Ndio nimemuona leo,na mitandao ninayotumia Muda mwingi Ni JF, TWITTER na QUORA.
Twite republic hawana muda na watu wa namna hii
Ila we jamaa 😂😂Ndio nani huyo huko Daslam?
Content creator.Msanii Wa tasnia gani?
Comedy,
Music,
Sinema,
Weka weka nyama hbr yako
Hii inapatikana kwenye account yake ya Twitter akiwa na balozi wa India nchini Tanzania.Mimi Ndio nimemuona leo,na mitandao ninayotumia Muda mwingi Ni JF, TWITTER na QUORA.
Labda nayeye Aamue kutoa ndogo kama DomoNiongee ukweli miaka mitano ijayo huyu mtu atakuwa pakubwa sana hata Diamond hatamgusa. Tuombe mungu uhai na uzima