Anayejua historia ya Kill Paul tunaiomba, anavuma nje kuliko kawaida

Unaongea nini wewe wakati huko Twitter jamaa ana zaidi ya 4millions followers anawazidi hata celebs wengi wa bongo na hata huko Twitter anatrend vibaya mno.
Sa si utuambie huyo ni nani na anafanya shughuli gani, sio kutulazimisha eti tunamjua, sisi sio WA kufuatilia amateurs mitandaoni, ebo!!
 
Sa si utuambie huyo ni nani na anafanya shughuli gani, sio kutulazimisha eti tunamjua, sisi sio WA kufuatilia amateurs mitandaoni, ebo!!
He is a content creator, Tanzania ndiyo mnaona ajabu lakini hata hapo jirani yenu Kenya content creators wanapiga bao kinoma.
Tz mpaka mtu awe Bongo Flavor, Bongo Movie, Chawa au mtu wa udaku ndiyo mnamuona ana value.
 
Mdogomdogo.
Your browser is not able to display this video.
 
Rubbing shoulders na celebrities wa Kidosi.
Your browser is not able to display this video.
 
He is a content creator, Tanzania ndiyo mnaona ajabu lakini hata hapo jirani yenu Kenya content creators wanapiga bao kinoma.
Tz mpaka mtu awe Bongo Flavor, Bongo Movie, Chawa au mtu wa udaku ndiyo mnamuona ana value.
So ndio unamtangaza hivyo, au sio?
 
So ndio unamtangaza hivyo, au sio?
Wanaomjua ndiyo wanamuelewa, mimi si mtu wa social media.
Nilianza kuona clip zake YouTube kwa kuwa sina IG acc wala FB acc huko jamuhuri ya Twitter nafuatilia ya Wazungu tu.
This dude is a hustler, inaonekana ana malengo(just thinking).
 
Mimi nlikua namuoma tu tiktok Anaish huko umasaini mara nyingi alikua na dada muda wote wanavaa hivo hivo kimasai.....Badae nkaona sijui wapi wapi wamemsaini sijui kama nn na sa hii nkamuona huko India
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…