Anayejua historia yote ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Members kwa yeyote yule anayeipata vyema historia ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee kitalaamu tupate kuelimika.

Kwa namna tulivyo hakika kuna kitu kabisa hakipo sawa katika historia maana hii hali tuliyo nayo sio ya kawaida huwezi kuipata bara lengine zaidi ya Afrika na kwa mwafrika(mweusi)

Angalizo: haziihitajiki longolongo bali historia iliyo shiba evidence za kutosha toka chimbuko(our ancestors) mpaka hii generation tuliyopo sijui ya ngapi.
 
Wazungu wa masalia ya kale wanasema eti chimbuko letu waafurika ni manyani yaan wewe unapomuona Chimpanzee ndio ulianzia kule alafu kukawa na ustaarabu wa vizazi baada ya generation kuelekea generation nyingine
chimpanzee1.jpg
 
Members kwa yoyote yule anaye ipata vyema historia ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee kitalaamu tupate kuelimika.

Kwa namna tulivyo hakika kuna kitu kabisa hakipo sawa katika historia maana hii hali tuliyo nayo sio ya kawaida huwezi kuipata bara lengine zaidi ya Afrika na kwa mwafrika(mweusi)

Angalizo: haziihitajiki longolongo bali historia iliyo shiba evidence za kutosha toka chimbuko(our ancestors) mpaka hii generation tuliyopo sijui ya ngapi.
Jinsi ulivyoandika na kutowa hukumu kabla hujauliza swali lako ni wazi kuwa umejazwa ujinga (brain washed) na umekujaa tele. Soma:

qur'an 49:13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. 13

Uislam ni mwema sana.
 
Jinsi ulivyoandika na kutowa hukumu kabla hujaulizaswali lako ni wazi kuwa umejazwa ujinga (brain washed) na umekujaa tele. Soma:

Huu uzi utaharibika,

Haya masuala hayakupaswa kuwepo ni vile mtoa mada hakutoa Angalizo la udini mapema
 
Jinsi ulivyoandika na kutowa hukumu kabla hujaulizaswali lako ni wazi kuwa umejazwa ujinga (brain washed) na umekujaa tele. Soma:

qur'an 49:13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. 13

Uislam ni mwema sana.
Jaazakaulau
 
Back
Top Bottom