stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
AlhumdulilahlabinallahminKwa "udini" unamaanisha Uislam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AlhumdulilahlabinallahminKwa "udini" unamaanisha Uislam?
AstaghafurulahUmeyasoma hayo mafundisho ya Qur'an? Yamekuudhi nini au yana ubaya upi?
Ki vipi elezea deep hapa tuna deal na historia iliyo shiba tuThere's nothing than civilization and Ego
Hapa tunazungumzia ya waafrika(weusi) tuMi naijua ya wazungu tu
Nani huyo alimcheka baba yake alie uchi na huyo baba yake alikuwa nani hapa historia tu ?Kwamba alimcheka baba yake aliyekuwa amelala uchi kwa kilevi, akalaaniwa akaambiwa atakuwa mtumwa wa ndugu zake. Akawa mweusi!
SawaDumas the terrible Huyu atakua anajua
Hata mie naitamani sana kuijua, tatizo ni source ya hizo taarifa, manake vitabu viko vingi ila vya kijanja kijanja tu.Members kwa yoyote yule anaye ipata vyema historia ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee kitalaamu tupate kuelimika.
Kwa namna tulivyo hakika kuna kitu kabisa hakipo sawa katika historia maana hii hali tuliyo nayo sio ya kawaida huwezi kuipata bara lengine zaidi ya Afrika na kwa mwafrika(mweusi)
Angalizo: haziihitajiki longolongo bali historia iliyo shiba evidence za kutosha toka chimbuko(our ancestors) mpaka hii generation tuliyopo sijui ya ngapi.
Watu kama hao una wapuuza tu ukiwapa attention kila kitu kina haribikaHuu uzi utaharibika,
Haya masuala hayakupaswa kuwepo ni vile mtoa mada hakutoa Angalizo la udini mapema
Haya niudhi lakini huwaga hayajitoshelezi in JF, pia ni LAZIMA tu mtabishana na wakristo alaf ni endlessUmeyasoma hayo mafundisho ya Qur'an? Yamekuudhi nini au yana ubaya upi?
Na lazima huo upande wa pili waache kukufuru. Walijiumba wenyewe?Hayaja niudhi lakini huwaga hayajitoshelezi in JF, pia ni LAZIMA tu mtabishana na wakristo alaf ni endless
Sasa ni Bora tuskilize Upande wa tofauti kabisa usio husu Dini yoyote, tuone watasema nini ?
You can stay quiet sio kuutafuta ubishani unao jirudia.
Mimi Wewe sikuwezi I better run here am not safe
Wachina ni watabe since ancient time huko zhuo dynasty, Han, dynasty, Qin dynasty, Song dynasty, Tang dynasty e.t.c hiki sio kitu kipya kwao ni marejeo tuDunia kula bata kupokezana. Inaenda zamu ya wachina.
Acha tusubiri wataalamu wa historiaHata mie naitamani sana kuijua, tatizo ni source ya hizo taarifa, manake vitabu viko vingi ila vya kijanja kijanja tu.
Tuendelea kuwa watulivu huku tukisuburi historia iliyo shiba kutoka kwa wataalamu kutuhusu sisiUmewaza vema mtoa mada, 'eti mtu mweusi alitawala misri ya kale na kwamba waisrael waliokuwa huko utumwani waliwekwa na mtawala mweusi'.....pumbaaavu!! Waafrika sisi ambao kila tunachokishika kinaharibika?!!!
Ni zamu zamu. Juzi kati walipelekeshwa balaa na wazungu na wajapaniWachina ni watabe since ancient time huko zhuo dynasty, Han, dynasty, Qin dynasty, Song dynasty, Tang dynasty e.t.c hiki sio kitu kipya kwao ni marejeo tu
Ni kipindi kifupi sana China katawaliwa na hao watu pia ilikuwa baadhi tu ya maeneo tena huyo Japan ndio kakaa kwa muda mfupi kabisa ilikuwa vita tu toka kaingia mpaka akaondoshwa kwa vita.Ni zamu zamu. Juzi kati walipelekeshwa balaa na wazungu na wajapani
Okay. You are really good one okayNa lazima huo upande wa pili waache kukufuru. Walijiumba wenyewe?
Mapungufu ni ya kujazwa ujinga tu. Mwenyezi Mungu anasema Mataifa, makabila na Lugha ili tufahamiane tu. Tena kabla ya aya hiyo anasema:
10. Hakika Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu ili mrehemewe. 10
11. Enyi mlio amini! Wanaume wasiwadharau wanaume wenzao, wala wanawake wasiwadharau wanawake wenzao. Huenda hao wakawa bora kuliko wao. Wala msivunjiane hishima, wala msiitane kwa majina ya kejeli. Ni uovu kutumia jina baya baada ya kwisha amini. Na wasio tubu, hao ndio wenye kudhulumu. 11
12. Enyi mlio amini! Jiepusheni na dhana nyingi, kwani baadhi ya dhana ni dhambi. Wala msipelelezane, wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi. Je! Yupo katika nyinyi anaye penda kuila nyama ya nduguye aliye kufa? Mnalichukia hilo! Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kupokea toba, Mwenye kurehemu. 12
13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. 13
wewe ndio umejazwa ujinga na waarabu nawe ukajaa mazima....ume andika ujinga mtupuJinsi ulivyoandika na kutowa hukumu kabla hujauliza swali lako ni wazi kuwa umejazwa ujinga (brain washed) na umekujaa tele. Soma:
qur'an 49:13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. 13
Uislam ni mwema sana.
Ngoja tusubiriTuendelea kuwa watulivu huku tukisuburi historia iliyo shiba kutoka kwa wataalamu kutuhusu sisi