Anayejua historia yote ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee

Huu uzi utaharibika,

Haya masuala hayakupaswa kuwepo ni vile mtoa mada hakutoa Angalizo la udini mapema
WAKRISTO sijui mkoje

Mchangiaji amejaribu kuelezea kua asili ya mwanadamu ni mwanaume mmoja na mwanamke mmoja yaani iwe mwafrika,mzungu na race nyingine na rejea yake ameitoa kwenye Qur'an

Nani mdini hapo wewe my son legacy au mchangiaji wa awali??

Na kama kwenye Bible kuna rejea au kuna elimu kuhusiana na mada basi ungetupatia hapa au kuna watu watakuja watasema

Na kama kuna rejea au elimu nyingine tena tofauti na hapo tutaambiwa pia

Punguza ushamba
 
Members kwa yeyote yule anayeipata vyema historia ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee kitalaamu tupate kuelimika.

Kwa namna tulivyo hakika kuna kitu kabisa hakipo sawa katika historia maana hii hali tuliyo nayo sio ya kawaida huwezi kuipata bara lengine zaidi ya Afrika na kwa mwafrika(mweusi)

Angalizo: haziihitajiki longolongo bali historia iliyo shiba evidence za kutosha toka chimbuko(our ancestors) mpaka hii generation tuliyopo sijui ya ngapi.
Mimi Kuna siku nilifikiria hili jambo nikapata jibu lifuatalo

Maisha ya binadamu yalianzia mashariki ya kati Kwa sababu ya uoto wake wa asili usio kuwa na misitu minene na mapango menge hivyo ilikuwa rahisi Kwa binadamu kuishi Yani kutafuta mahitaji sehemu ambazo hazina misitu minene na kulala ndani ya mapango Kwa sababu yapo ya kutosha

Wale wenye ngozi nyeusi ambao ndio mababu zetu either walijibagua au walinyanyapaliwa au walifukuzwa ndio ikabidi washuke huku Africa eneo ambalo Kwa kipindi hicho lilikuwa na misitu minene na wanyama wakali ila Kwa kuwa Kuna force iliyowafanya waje huku ikawa hawana jinsi ndio wakaanzisha maisha katika bara hili la Africa
 
Umewaza vema mtoa mada, 'eti mtu mweusi alitawala misri ya kale na kwamba waisrael waliokuwa huko utumwani waliwekwa na mtawala mweusi'.....pumbaaavu!! Waafrika sisi ambao kila tunachokishika kinaharibika?!!!
Hivi tatizo hasa la sisi wa Afrika ni nini,kwanini kila kitu tunachofanya kinaharibika?
 
Jinsi ulivyoandika na kutowa hukumu kabla hujauliza swali lako ni wazi kuwa umejazwa ujinga (brain washed) na umekujaa tele. Soma:

qur'an 49:13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. 13

Uislam ni mwema sana.
FaizaFoxy , Huyu aliyetamka maneno haya ni Nani? Nisaidie tafadhali.
Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke
 
Hivi tatizo hasa la sisi wa Afrika ni nini,kwanini kila kitu tunachofanya kinaharibika?
Ndo hapo wajuzi wa kihistoria waje kama walivyoombwa na mtoa mada ili watuelezee kitu cha kueleweka tuelewe. Vinginevyo mi nitabaki na ile stori ya kiarabu kuwa kuna aliyetenda dhambi na hivyo kulaaniwa yeye na kizazi chake chote kuwa kitakuwa cheusi na cha hovyo!
 
Mimi Kuna siku nilifikiria hili jambo nikapata jibu lifuatalo

Maisha ya binadamu yalianzia mashariki ya kati Kwa sababu ya uoto wake wa asili usio kuwa na misitu minene na mapango menge hivyo ilikuwa rahisi Kwa binadamu kuishi Yani kutafuta mahitaji sehemu ambazo hazina misitu minene na kulala ndani ya mapango Kwa sababu yapo ya kutosha

Wale wenye ngozi nyeusi ambao ndio mababu zetu either walijibagua au walinyanyapaliwa au walifukuzwa ndio ikabidi washuke huku Africa eneo ambalo Kwa kipindi hicho lilikuwa na misitu minene na wanyama wakali ila Kwa kuwa Kuna force iliyowafanya waje huku ikawa hawana jinsi ndio wakaanzisha maisha katika bara hili la Africa
Teh teh teh
 
Members kwa yeyote yule anayeipata vyema historia ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee kitalaamu tupate kuelimika.

Kwa namna tulivyo hakika kuna kitu kabisa hakipo sawa katika historia maana hii hali tuliyo nayo sio ya kawaida huwezi kuipata bara lengine zaidi ya Afrika na kwa mwafrika(mweusi)

Angalizo: haziihitajiki longolongo bali historia iliyo shiba evidence za kutosha toka chimbuko(our ancestors) mpaka hii generation tuliyopo sijui ya ngapi.
Race ni man made concept, watu wanakua weupe ama weusi kutokana na mahala wanapoishi, jinsi unavyoishi Equator kushuka ndio jinsi unavyokua mweusi...

Wote asili yetu ni moja. Watu wanatumia tu concept ya race kubaguana.

China, India, South East Asia etc kila ukienda kusini ni weusi. India North weupe, India south Weusi, China North weupe China south Weusi,

So historia yangu ilioshiba ya mtu mweusi ni mtu ambaye hakua mweusi akenda south akawa mweusi, and vice versa is true kwa mtu mweupe.
 
Origin hiki ndicho nahitaji.

Tumetoka wapi, tupo wapi. Hiki ni kizazi cha ngapi toka kwa our ancestors ?

Ni maswali mengi sana yanahusiana na mtu mweusi ( mwafrika )

Swala la mazingira hilo lina kasoro zake maswali mengi halijibu.
 
Origin nimeshakuandikia mkuu, Asili yetu wote ni moja mambo ya Race yamekuja hivi karibuni na asili yake ni Ubaguzi wa Rangi

Hata ukienda Ulaya wanaoishi kaskazini weupe sana wakati Ulaya kusini tayari wa naanza kupoteza weupe.

Na sababu nimekutajia huko juu ni kutokana na eneo tunaloishi.

Kwenye miili yetu kuna kitu kinaitwa Melinin, ambayo i atengeneze kujikinga na Jua, sehemu ambayo ipo exposed na jua kuliko zote ni Equator, ndio maana watu wa Equator ni weusi haijalishi bara wanalotoka, hata ukiangalia Native wa Brazil wana ka weusi fulani ukienda Sea, India etc unapokaribia Equator ndio jinsi unakua mweusi.

Sehemu ambazo jua si sana kama kaskazini kwenye mabarafu watu wake weupe sana.

Hii video fupi inaelezea ki layman.

View: https://m.youtube.com/watch?v=odfiKcJoZ84

So babu wa babu wako wa babu wako not necessarily alikua mweusi kama wewe.
 
Kwa hiyo wazungu wakiishi maeneo hayo wanakua weusi na wanazaa watoto weusi kama sisi ?

Mtu mweusi kwa mweusi wanaweza kuzaa mzungu ? Na Mzungu kwa mzungu wanaweza kuzaa mweusi ?

Unaposema origin yetu sote ni moja ni ipi hiyo origin moja itaje ?
 
Members kwa yeyote yule anayeipata vyema historia ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee kitalaamu tupate kuelimika.

Kwa namna tulivyo hakika kuna kitu kabisa hakipo sawa katika historia maana hii hali tuliyo nayo sio ya kawaida huwezi kuipata bara lengine zaidi ya Afrika na kwa mwafrika(mweusi)

Angalizo: haziihitajiki longolongo bali historia iliyo shiba evidence za kutosha toka chimbuko(our ancestors) mpaka hii generation tuliyopo sijui ya ngapi.
Na ni Weusi kote walipo Duniani ni Mateso tu na kutengwa au kudharauliwa

Tazama Aborigional wa Ausralia, Papua new Guinea, USA, Europe na hata hapa Afrika bado Mtu mweusi anabaguliwa sana

Historia inaonesha kuwa Mtu mweusi alifanya dhambi flani ikamletea mkosi yeye na kizazi chake...sasa kwa vizazi tofauti Mtu mweusi amebaki kuwa MTUMWA wa watu weupe.
 
Umewaza vema mtoa mada, 'eti mtu mweusi alitawala misri ya kale na kwamba waisrael waliokuwa huko utumwani waliwekwa na mtawala mweusi'.....pumbaaavu!! Waafrika sisi ambao kila tunachokishika kinaharibika?!!!
Sio kinaharibika, Tunakiharibu na kusubiri kutengenezewa
 
Race ni man made concept, watu wanakua weupe ama weusi kutokana na mahala wanapoishi, jinsi unavyoishi Equator kushuka ndio jinsi unavyokua mweusi...

Wote asili yetu ni moja. Watu wanatumia tu concept ya race kubaguana.

China, India, South East Asia etc kila ukienda kusini ni weusi. India North weupe, India south Weusi, China North weupe China south Weusi,

So historia yangu ilioshiba ya mtu mweusi ni mtu ambaye hakua mweusi akenda south akawa mweusi, and vice versa is true kwa mtu mweupe.
Aboriginal wa Australia wameishi Australia kabla ya Africa kuwepo

Mbona ni weusi tii na masikini sana?
 
Na ni Weusi kote walipo Duniani ni Mateso tu na kutengwa au kudharauliwa

Tazama Aborigional wa Ausralia, Papua new Guinea, USA, Europe na hata hapa Afrika bado Mtu mweusi anabaguliwa sana

Historia inaonesha kuwa Mtu mweusi alifanya dhambi flani ikamletea mkosi yeye na kizazi chake...sasa kwa vizazi tofauti Mtu mweusi amebaki kuwa MTUMWA wa watu weupe.
Hata ndani ya familia ya mwafrika pure ikitokea mmoja wa wanafamilia akawa ni mweusi zaidi ya wanafamilia wengine wote lazima atabaguliwa tu na hao ndugu zake.
 
Wazungu wa masalia ya kale wanasema eti chimbuko letu waafurika ni manyani yaan wewe unapomuona Chimpanzee ndio ulianzia kule alafu kukawa na ustaarabu wa vizazi baada ya generation kuelekea generation nyingineView attachment 2747655
Kama Waafrika ni chimpanzee mbona kuna wengine hawakubadilika kuwa binadamu wapo mpaka leo
Hapa mzungu alitaka tujidharau hata kabla wao hawajaanza kutudharau
 
Aboriginal wa Australia wameishi Australia kabla ya Africa kuwepo

Mbona ni weusi tii na masikini sana?
Sijaelewa hoja yako hapa, Australia ukiangalia Ramani ya Dunia ipo Chini kuliko Nchi za Ulaya.

images (51).jpg

Ukiangalia hapo ipo usawa mmoja na Africa. Aboriginal kuwa weusi inasupport point yangu, bara jengine ambalo lipo mbali na Africa watu wake nao ni weusi
 
Back
Top Bottom