Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Tumwage mchele kwenye kuku wengi ndio maana nimeuliza hapa ili wote tujue ni nini kinacho tuhukumu kwenye historiaMtafute Yeriko Nyerere ana kitabu chake kaelezea vizuri Sana hayo mambo
Hii haihusu Wafrika pekee bali watu wote hata hao wazunguWazungu wa masalia ya kale wanasema eti chimbuko letu waafurika ni manyani yaan wewe unapomuona Chimpanzee ndio ulianzia kule alafu kukawa na ustaarabu wa vizazi baada ya generation kuelekea generation nyingineView attachment 2747655
Pamoja sanaHistoria ya NI ndefu Sana kama ukipata hicho kitabu labda wewe ndo ufanye hapa analysis Kwa faida ya wengi
Jinsi ulivyoandika na kutowa hukumu kabla hujauliza swali lako ni wazi kuwa umejazwa ujinga (brain washed) na umekujaa tele. Soma:Members kwa yoyote yule anaye ipata vyema historia ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee kitalaamu tupate kuelimika.
Kwa namna tulivyo hakika kuna kitu kabisa hakipo sawa katika historia maana hii hali tuliyo nayo sio ya kawaida huwezi kuipata bara lengine zaidi ya Afrika na kwa mwafrika(mweusi)
Angalizo: haziihitajiki longolongo bali historia iliyo shiba evidence za kutosha toka chimbuko(our ancestors) mpaka hii generation tuliyopo sijui ya ngapi.
Huu uzi utaharibika,Jinsi ulivyoandika na kutowa hukumu kabla hujaulizaswali lako ni wazi kuwa umejazwa ujinga (brain washed) na umekujaa tele. Soma:
qur'an 49:13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. 13
Uislam ni mwema sana.
Yes,Mi naijua ya wazungu tu
JaazakaulauJinsi ulivyoandika na kutowa hukumu kabla hujaulizaswali lako ni wazi kuwa umejazwa ujinga (brain washed) na umekujaa tele. Soma:
qur'an 49:13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. 13
Uislam ni mwema sana.
Kwa "udini" unamaanisha Uislam?Huu uzi utaharibika,
Haya masuala hayakupaswa kuwepo ni vile mtoa mada hakutoa Angalizo la udini mapema
Umeyasoma hayo mafundisho ya Qur'an? Yamekuudhi nini au yana ubaya upi?Huu uzi utaharibika,
Haya masuala hayakupaswa kuwepo ni vile mtoa mada hakutoa Angalizo la udini mapema