Anayejua historia yote ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee

Kwamba alimcheka baba yake aliyekuwa amelala uchi kwa kilevi, akalaaniwa akaambiwa atakuwa mtumwa wa ndugu zake. Akawa mweusi!
Nani huyo alimcheka baba yake alie uchi na huyo baba yake alikuwa nani hapa historia tu ?
 
Hata mie naitamani sana kuijua, tatizo ni source ya hizo taarifa, manake vitabu viko vingi ila vya kijanja kijanja tu.
 
Umeyasoma hayo mafundisho ya Qur'an? Yamekuudhi nini au yana ubaya upi?
Haya niudhi lakini huwaga hayajitoshelezi in JF, pia ni LAZIMA tu mtabishana na wakristo alaf ni endless

Sasa ni Bora tuskilize Upande wa tofauti kabisa usio husu Dini yoyote, tuone watasema nini ?

You can stay quiet sio kuutafuta ubishani unao jirudia.
Mimi Wewe sikuwezi I better run here am not safe
 
Na lazima huo upande wa pili waache kukufuru. Walijiumba wenyewe?

Mapungufu ni ya kujazwa ujinga tu. Mwenyezi Mungu anasema Mataifa, makabila na Lugha ili tufahamiane tu. Tena kabla ya aya hiyo anasema:

10. Hakika Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu ili mrehemewe. 10


11. Enyi mlio amini! Wanaume wasiwadharau wanaume wenzao, wala wanawake wasiwadharau wanawake wenzao. Huenda hao wakawa bora kuliko wao. Wala msivunjiane hishima, wala msiitane kwa majina ya kejeli. Ni uovu kutumia jina baya baada ya kwisha amini. Na wasio tubu, hao ndio wenye kudhulumu. 11


12. Enyi mlio amini! Jiepusheni na dhana nyingi, kwani baadhi ya dhana ni dhambi. Wala msipelelezane, wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi. Je! Yupo katika nyinyi anaye penda kuila nyama ya nduguye aliye kufa? Mnalichukia hilo! Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kupokea toba, Mwenye kurehemu. 12


13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. 13
 
Umewaza vema mtoa mada, 'eti mtu mweusi alitawala misri ya kale na kwamba waisrael waliokuwa huko utumwani waliwekwa na mtawala mweusi'.....pumbaaavu!! Waafrika sisi ambao kila tunachokishika kinaharibika?!!!
Tuendelea kuwa watulivu huku tukisuburi historia iliyo shiba kutoka kwa wataalamu kutuhusu sisi
 
Wachina ni watabe since ancient time huko zhuo dynasty, Han, dynasty, Qin dynasty, Song dynasty, Tang dynasty e.t.c hiki sio kitu kipya kwao ni marejeo tu
Ni zamu zamu. Juzi kati walipelekeshwa balaa na wazungu na wajapani
 
Ni zamu zamu. Juzi kati walipelekeshwa balaa na wazungu na wajapani
Ni kipindi kifupi sana China katawaliwa na hao watu pia ilikuwa baadhi tu ya maeneo tena huyo Japan ndio kakaa kwa muda mfupi kabisa ilikuwa vita tu toka kaingia mpaka akaondoshwa kwa vita.

Last dynasty imeangushwa 1911 na wachina wenyewe na wakaendelea kutawaliana huku wakipambana na foreigners mpaka wakomunisti walipo twaa madaraka na wao.

Ukoloni China umewagusa miaka michache sana tofauti na umri wa taifa lao wa zaidi ya miaka 5000
 
Okay. You are really good one okay
 
wewe ndio umejazwa ujinga na waarabu nawe ukajaa mazima....ume andika ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…