WAKRISTO sijui mkojeHuu uzi utaharibika,
Haya masuala hayakupaswa kuwepo ni vile mtoa mada hakutoa Angalizo la udini mapema
Mimi Kuna siku nilifikiria hili jambo nikapata jibu lifuataloMembers kwa yeyote yule anayeipata vyema historia ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee kitalaamu tupate kuelimika.
Kwa namna tulivyo hakika kuna kitu kabisa hakipo sawa katika historia maana hii hali tuliyo nayo sio ya kawaida huwezi kuipata bara lengine zaidi ya Afrika na kwa mwafrika(mweusi)
Angalizo: haziihitajiki longolongo bali historia iliyo shiba evidence za kutosha toka chimbuko(our ancestors) mpaka hii generation tuliyopo sijui ya ngapi.
Hivi tatizo hasa la sisi wa Afrika ni nini,kwanini kila kitu tunachofanya kinaharibika?Umewaza vema mtoa mada, 'eti mtu mweusi alitawala misri ya kale na kwamba waisrael waliokuwa huko utumwani waliwekwa na mtawala mweusi'.....pumbaaavu!! Waafrika sisi ambao kila tunachokishika kinaharibika?!!!
FaizaFoxy , Huyu aliyetamka maneno haya ni Nani? Nisaidie tafadhali.Jinsi ulivyoandika na kutowa hukumu kabla hujauliza swali lako ni wazi kuwa umejazwa ujinga (brain washed) na umekujaa tele. Soma:
qur'an 49:13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. 13
Uislam ni mwema sana.
Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke
Ndo hapo wajuzi wa kihistoria waje kama walivyoombwa na mtoa mada ili watuelezee kitu cha kueleweka tuelewe. Vinginevyo mi nitabaki na ile stori ya kiarabu kuwa kuna aliyetenda dhambi na hivyo kulaaniwa yeye na kizazi chake chote kuwa kitakuwa cheusi na cha hovyo!Hivi tatizo hasa la sisi wa Afrika ni nini,kwanini kila kitu tunachofanya kinaharibika?
Teh teh tehMimi Kuna siku nilifikiria hili jambo nikapata jibu lifuatalo
Maisha ya binadamu yalianzia mashariki ya kati Kwa sababu ya uoto wake wa asili usio kuwa na misitu minene na mapango menge hivyo ilikuwa rahisi Kwa binadamu kuishi Yani kutafuta mahitaji sehemu ambazo hazina misitu minene na kulala ndani ya mapango Kwa sababu yapo ya kutosha
Wale wenye ngozi nyeusi ambao ndio mababu zetu either walijibagua au walinyanyapaliwa au walifukuzwa ndio ikabidi washuke huku Africa eneo ambalo Kwa kipindi hicho lilikuwa na misitu minene na wanyama wakali ila Kwa kuwa Kuna force iliyowafanya waje huku ikawa hawana jinsi ndio wakaanzisha maisha katika bara hili la Africa
PoaNgoja waje...
Race ni man made concept, watu wanakua weupe ama weusi kutokana na mahala wanapoishi, jinsi unavyoishi Equator kushuka ndio jinsi unavyokua mweusi...Members kwa yeyote yule anayeipata vyema historia ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee kitalaamu tupate kuelimika.
Kwa namna tulivyo hakika kuna kitu kabisa hakipo sawa katika historia maana hii hali tuliyo nayo sio ya kawaida huwezi kuipata bara lengine zaidi ya Afrika na kwa mwafrika(mweusi)
Angalizo: haziihitajiki longolongo bali historia iliyo shiba evidence za kutosha toka chimbuko(our ancestors) mpaka hii generation tuliyopo sijui ya ngapi.
Origin hiki ndicho nahitaji.Race ni man made concept, watu wanakua weupe ama weusi kutokana na mahala wanapoishi, jinsi unavyoishi Equator kushuka ndio jinsi unavyokua mweusi...
Wote asili yetu ni moja. Watu wanatumia tu concept ya race kubaguana.
China, India, South East Asia etc kila ukienda kusini ni weusi. India North weupe, India south Weusi, China North weupe China south Weusi,
So historia yangu ilioshiba ya mtu mweusi ni mtu ambaye hakua mweusi akenda south akawa mweusi, and vice versa is true kwa mtu mweupe.
Origin nimeshakuandikia mkuu, Asili yetu wote ni moja mambo ya Race yamekuja hivi karibuni na asili yake ni Ubaguzi wa RangiOrigin hiki ndicho nahitaji.
Tumetoka wapi, tupo wapi. Hiki ni kizazi cha ngapi toka kwa our ancestors ?
Ni maswali mengi sana yanahusiana na mtu mweusi ( mwafrika )
Swala la mazingira hilo lina kasoro zake maswali mengi halijibu.
Kwa hiyo wazungu wakiishi maeneo hayo wanakua weusi na wanazaa watoto weusi kama sisi ?Origin nimeshakuandikia mkuu, Asili yetu wote ni moja mambo ya Race yamekuja hivi karibuni na asili yake ni Ubaguzi wa Rangi
Hata ukienda Ulaya wanaoishi kaskazini weupe sana wakati Ulaya kusini tayari wa naanza kupoteza weupe.
Na sababu nimekutajia huko juu ni kutokana na eneo tunaloishi.
Kwenye miili yetu kuna kitu kinaitwa Melinin, ambayo i atengeneze kujikinga na Jua, sehemu ambayo ipo exposed na jua kuliko zote ni Equator, ndio maana watu wa Equator ni weusi haijalishi bara wanalotoka, hata ukiangalia Native wa Brazil wana ka weusi fulani ukienda Sea, India etc unapokaribia Equator ndio jinsi unakua mweusi.
Sehemu ambazo jua si sana kama kaskazini kwenye mabarafu watu wake weupe sana.
Hii video fupi inaelezea ki layman.
View: https://m.youtube.com/watch?v=odfiKcJoZ84
So babu wa babu wako wa babu wako not necessarily alikua mweusi kama wewe.
Na ni Weusi kote walipo Duniani ni Mateso tu na kutengwa au kudharauliwaMembers kwa yeyote yule anayeipata vyema historia ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee kitalaamu tupate kuelimika.
Kwa namna tulivyo hakika kuna kitu kabisa hakipo sawa katika historia maana hii hali tuliyo nayo sio ya kawaida huwezi kuipata bara lengine zaidi ya Afrika na kwa mwafrika(mweusi)
Angalizo: haziihitajiki longolongo bali historia iliyo shiba evidence za kutosha toka chimbuko(our ancestors) mpaka hii generation tuliyopo sijui ya ngapi.
Sio kinaharibika, Tunakiharibu na kusubiri kutengenezewaUmewaza vema mtoa mada, 'eti mtu mweusi alitawala misri ya kale na kwamba waisrael waliokuwa huko utumwani waliwekwa na mtawala mweusi'.....pumbaaavu!! Waafrika sisi ambao kila tunachokishika kinaharibika?!!!
Hakiharibiki, tunakiharibu kwa ujinga wetuHivi tatizo hasa la sisi wa Afrika ni nini,kwanini kila kitu tunachofanya kinaharibika?
Aboriginal wa Australia wameishi Australia kabla ya Africa kuwepoRace ni man made concept, watu wanakua weupe ama weusi kutokana na mahala wanapoishi, jinsi unavyoishi Equator kushuka ndio jinsi unavyokua mweusi...
Wote asili yetu ni moja. Watu wanatumia tu concept ya race kubaguana.
China, India, South East Asia etc kila ukienda kusini ni weusi. India North weupe, India south Weusi, China North weupe China south Weusi,
So historia yangu ilioshiba ya mtu mweusi ni mtu ambaye hakua mweusi akenda south akawa mweusi, and vice versa is true kwa mtu mweupe.
Hata ndani ya familia ya mwafrika pure ikitokea mmoja wa wanafamilia akawa ni mweusi zaidi ya wanafamilia wengine wote lazima atabaguliwa tu na hao ndugu zake.Na ni Weusi kote walipo Duniani ni Mateso tu na kutengwa au kudharauliwa
Tazama Aborigional wa Ausralia, Papua new Guinea, USA, Europe na hata hapa Afrika bado Mtu mweusi anabaguliwa sana
Historia inaonesha kuwa Mtu mweusi alifanya dhambi flani ikamletea mkosi yeye na kizazi chake...sasa kwa vizazi tofauti Mtu mweusi amebaki kuwa MTUMWA wa watu weupe.
Kama Waafrika ni chimpanzee mbona kuna wengine hawakubadilika kuwa binadamu wapo mpaka leoWazungu wa masalia ya kale wanasema eti chimbuko letu waafurika ni manyani yaan wewe unapomuona Chimpanzee ndio ulianzia kule alafu kukawa na ustaarabu wa vizazi baada ya generation kuelekea generation nyingineView attachment 2747655
Sijaelewa hoja yako hapa, Australia ukiangalia Ramani ya Dunia ipo Chini kuliko Nchi za Ulaya.Aboriginal wa Australia wameishi Australia kabla ya Africa kuwepo
Mbona ni weusi tii na masikini sana?