Bora utafute mtu ambae ameshajiunga akuagizie kupunguza stress
Wakuu,kuna portable electronic appliance nimeagiza kutoka china kwa DHL,nimelipia kwa pay pal,gharama yake pamoja na shipping ni usd 249,Nimetumia DHL,Ningependa kujua kuhusu kodi zetu hapa bongo inakuwa kiasi gani?
Msaada wenu tafadhali.
Mkuu Osaba angalau kwa gharama hiyo ya manunuzi wanaweza wakanichaji kiasi gani?Hao dhl hawaeleweki kabisa kuhusu kodi zao wewe jitayarishe kwa lolote, naongea kwa uzoefu kwani nimekuwa nikiagiza vitu online huu mwaka wa tano sasa
Link card yako ya bank wanyonye kutoka huko.Habari wana JF Mimi Nina akaunti ya PayPal ambayo haina Salio sasa nilikuwa naitaji kuongeza Salio ili niweze kufanya manunuzi Yang binafsi' kwa MTU yeyote aliye na Salio kwenye akanti yake ya pay pal Tafadhali tufanye exchange nimpe cash anipe Salio kwenye PayPal Yangu
Nichek PM au call & whatsapp 0743497079
Kwa hizi bank za kwetu sidhanimm nsha jaza iyo ya cdb kwaio na uweze wa kutuma na kupokea pesa nje ya nchi bila waswas mana acc#yangu ishakuwa connected na online transactions na kuna thread hum JF wameandka mtu huez pokea wesa walakutuma but unaeza fanya purchase tu je ni kweli thread iyo n ya mwaka jana??
Basi itakuwa habari njema sana maana PayPal walishanirefund na hela haikuonekana katika akaunti yangu.nliwapigia cmu juz wakanambia saiv inawezekana kupokea na kutuma pesa nje yanchi but still sija jarib