Anayejua jinsi ya kujiunga na Pay Pal

Anayejua jinsi ya kujiunga na Pay Pal

natamani kuijua maana ninatakiwa kununua gauni langu la harusi tafadhali naomba msaa wa kujua wapendwa
 
jaribuni kutafuta ktk huu mtandao wa jamii forum, karibia kila kitu kimo humu na kilishaongelewa na kupewa ufafanuzi wa hali ya juu.
 
Bora utafute mtu ambae ameshajiunga akuagizie kupunguza stress

usikubal kupiga dili na watu kichwa kichwa ,dada humu jf kuna kes nyng tu za utapeli,sikushauri ukubaliane na hili wazo la kumtafuta mtu,usije haribu mipango yako ya harusi,subil tu wajitokeze wadau wakauelekeze namna ya kujiunga.

Au wape kina hasanal,khadija mwanamboka,ally mtula wa kubunie tu gauni itakuwa poa tukithamin vya nyumbani.
 
Wakuu,kuna portable electronic appliance nimeagiza kutoka china kwa DHL,nimelipia kwa pay pal,gharama yake pamoja na shipping ni usd 249,Nimetumia DHL,Ningependa kujua kuhusu kodi zetu hapa bongo inakuwa kiasi gani?
Msaada wenu tafadhali.
 
Hao dhl hawaeleweki kabisa kuhusu kodi zao wewe jitayarishe kwa lolote, naongea kwa uzoefu kwani nimekuwa nikiagiza vitu online huu mwaka wa tano sasa
 
Hao dhl hawaeleweki kabisa kuhusu kodi zao wewe jitayarishe kwa lolote, naongea kwa uzoefu kwani nimekuwa nikiagiza vitu online huu mwaka wa tano sasa
Mkuu Osaba angalau kwa gharama hiyo ya manunuzi wanaweza wakanichaji kiasi gani?
 
Last edited by a moderator:
Habari wana JF Mimi Nina akaunti ya PayPal ambayo haina Salio sasa nilikuwa naitaji kuongeza Salio ili niweze kufanya manunuzi Yang binafsi' kwa MTU yeyote aliye na Salio kwenye akanti yake ya pay pal Tafadhali tufanye exchange nimpe cash anipe Salio kwenye PayPal Yangu
Nichek PM au call & whatsapp 0743497079
 
Link card yako ya bank wanyonye kutoka huko.
 
Mkuu link card yako ya bank Visa au master na paypal kwa Equity na Bank Abc ni easy ila crdb utahitaji kujaza barua fulani
 
mm nsha jaza iyo ya cdb kwaio na uweze wa kutuma na kupokea pesa nje ya nchi bila waswas mana acc#yangu ishakuwa connected na online transactions na kuna thread hum JF wameandka mtu huez pokea wesa walakutuma but unaeza fanya purchase tu je ni kweli thread iyo n ya mwaka jana??
 
Kwa hizi bank za kwetu sidhani
 
nliwapigia cmu juz wakanambia saiv inawezekana kupokea na kutuma pesa nje yanchi but still sija jarib
 
nliwapigia cmu juz wakanambia saiv inawezekana kupokea na kutuma pesa nje yanchi but still sija jarib
Basi itakuwa habari njema sana maana PayPal walishanirefund na hela haikuonekana katika akaunti yangu.
 
I hope msaada utakuwa ushapata. Mimi natafuta mtu wa kumtumia $21 via Skrill, naye anipe kwa kununua kitu/huduma yenye thamani ya $19. Au anipatie cash kwa rates siku hiyo transaction ilipofanyika. Asante
 
Mm natumia UBA nanunua na ninapokea pesa. Paypal watiwah rudisha na pesa ikaingia moja kwa moja ktk acc
 
habari zenu wanajamii forum
Nilikuwa naomba mwenye link ya site amabazo ziko salama kwa online shopping maana naona kama pay pal siiamini vile naombeni msaada ili niweze ku sign up kwa ajili ya kuanzisha account.Naamini humu kuna watu wenye busara watanisaidia
ahsante
 
EBay, amazon.....hzi ndyo trusted pamoja na Alibaba

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom