Anayejua jinsi ya kujiunga na Pay Pal

Anayejua jinsi ya kujiunga na Pay Pal

habari zenu wanajamii forum
Nilikuwa naomba mwenye link ya site amabazo ziko salama kwa online shopping maana naona kama pay pal siiamini vile naombeni msaada ili niweze ku sign up kwa ajili ya kuanzisha account.Naamini humu kuna watu wenye busara watanisaidia
ahsante

Iko salama sana PAYPAL. MM uwa natumia kununulia chochote online No Problems.
 
Kama huwaamini Pay pal pole sana hakuna salama zaidi ya hapo...hao ni NASDAC wenyewe wa wallstreet,manhattan NY.
 
Wana jamvi naomba kufahamu kufanya manunuzi mtandaoni kwa kutumia pay pal kuna faida gani na hasara kiasi gani tofauti na kulipa moja kwa moja bila kuwa na akaunti hiyo?
Nitashukuru kwa mawazo yenu.
 
Wana jamvi naomba kufahamu kufanya manunuzi mtandaoni kwa kutumia pay pal kuna faida gani na hasara kiasi gani tofauti na kulipa moja kwa moja bila kuwa na akaunti hiyo?
Nitashukuru kwa mawazo yenu.
Faida take Ni unalipia kwa email bila details zako za fedha kujulikana na fee inalipwa ya PayPal inalipwa na muuza bidhaa.
 
Paypal Wana secure pesa yako, yaani wewe unawapa PayPal, na PayPal wanalipa kule. Faida ni kwamba kuna asilimia chache sana zakutapeliwa pesa zako na ikitokea umetapeliwa PayPal wanalipa na PayPal wanahakikisha Huyo muuzaji ni muuzaji kweli
Hasara zake ni kamato unakatwa kidogo Kwa ajili ya huduma hizo
 
Download application yake ,usifanye registration online.Pia kwenye sehemu ya kujaza Postal adress andika 0000.
Sijui kama nitakua nimekushauri ulichokuwa unakihitaji?
GLU™
 
Back
Top Bottom