pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Mzanzibari MkaaziWe unataka awe mkenya au mtanganyika?
MtanzaniaWe unataka awe mkenya au mtanganyika?
Hapana, hilo sikushindwa kufanya ila nasimamia ukweliWe jaza kazaliwa mkoa wa kwenu!
Kwa anaejua tafadhaliMzanzibari Mkaazi
Mie baba ni mtanzania, mama ni mkenyaHuyo tayar n mkenya mwnye asili ya kitanzania
Sawa.Hapana, hilo sikushindwa kufanya ila nasimamia ukweli
Tanzania kuna ujinga sana kwenye jambo hilo.Mwanangu amezaliwa kenya na mama mkenya ila mie ni mtanzania alienda tu kwao kujifungua sasa amerudi home leo ni mwaka mmoja tayari,
Nimeenda rita wamesema siku hizi unaomba cheti cha kuzaliwa online, sawa nimeingia account yao sasa wakati najaza maelezo ya mtoto nikakuta hakuna kuchagua inchi bali ni watoto waliozaliwa tanzania tu, sasa hapa nifanyeje?
Anaejua tafadhali
Natanguliza asante nyingi
Nchi zenyewe Sasa!Mie baba ni mtanzania, mama ni mkenya
Mpaka sasa ana uraia wa inchi mbili mpaka atakapofika 18
Ila wakuu nimeomba kwa anaejua tafadhali anielekeze naona uvivu kurudi tena rita
Hapo kuna kuruka mkojo kukanyaga mavi.Nchi zenyewe Sasa!
Point. Kenya ni failed stateHapo kuna kuruka mkojo kukanyaga mavi.
Kwa kuondokana na usumbufu Mimi namshauri atengeneze cheti cha kuzaliwa cha Tanzania, aondokane na usumbufu, Tanzania ina future nzuri kuliko Kenya.
Kwa kuwa kazaliwa kule, itakuwa wepesi kwake akikuwa w/ataamuwa wapi panamfaa zaidi.
Asante ila bado hujanisaidia, naona kama umenisimanga tuTanzania kuna ujinga sana kwenye jambo hilo.
Siku ukienda kumwandikisha shule ndiyo utafahamu ujinga wetu. Mwalimu shule atakwambia huyu siyo Mtanzania nenda wizara ya elimu, wizara ya elimu ukienda hakuna jibu la moja kwa moja, watakwambia nenda mambo ya nje, mambo ya nje watakwambia nenda mambo ya ndani watakwambialeta ushuzi, leta uharo, leta ujinga mpaka aandikishwe shule uko taabani. Ni ujinga ujinga mtupu, kote humo kila mtu anajifanya anajuwa kumbe hajuwi.
Yaani hata ufanye vipi sasa hivi, ikifikia shule na kutaka passport yake mwenyewe ya kusafiri ndiyo utajuwa kuwa hatujuwi.
Hapa sasa umenisaidia kidogo, ingawa bado hujaniongoza kipi cha kufanya baada ya kushindwa kuipata kenya kwenye form ya maelezo ya mtoto online ya rita websiteHapo kuna kuruka mkojo kukanyaga mavi.
Kwa kuondokana na usumbufu Mimi namshauri atengeneze cheti cha kuzaliwa cha Tanzania, aondokane na usumbufu, Tanzania ina future nzuri kuliko Kenya.
Kwa kuwa kazaliwa kule, itakuwa wepesi kwake akikuwa w/ataamuwa wapi panamfaa zaidi.
Unakusaidia nini huo ukweli katika mazingira haya! Duuh...au ndio unahisi utakuwa umefanya dhambi!?Hapana, hilo sikushindwa kufanya ila nasimamia ukweli
Yes ni dhambi kuongopa, ningeweza kutengeneza tangazo hospitali yeyote ile then nikatoa chetu kirahisi, ila kiukweli ningekuwa nimemdhulumu sana mtoto, baadae akikua atakuwa anasema uongo maisha yake yote, kwani akiulizwa atasema nimezaliwa tz wakati ukweli ni amezaliwa kenyaUnakusaidia nini huo ukweli katika mazingira haya! Duuh...au ndio unahisi utakuwa umefanya dhambi!?