pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
- Thread starter
- #141
Waeleze manake jamaa wameshindwa kabisa kunielewaSio nchi zote zenye huu utaratibu including Tanzania...
Mtoto atakuwa na haki ya kupata cheti cha kuzaliwa cha nchi aliyozaliwa lakini sio uraia...
Kwa Tanzania ni hadi mzazi mmoja awe Mtanzania...
"Uraia wa Tanzania kwa Kuzaliwa.
Kwa mujibu wa Sheria ya Uraia ya Na. 6 ya Mwaka 1995, mtu yeyote anayefuzu kuwa raia wa Tanzania kwa kuzaliwa ni yule aliyezaliwa nchini Tanzania na ambaye wakati wa kuzaliwa kwake mmoja wa mzazi wake alikuwa raia wa Tanzania."